Uchaguzi 2020 Akiwa njiani kwenda Tarime, Tundu Lissu asimamishwa Lamadi-Simiyu, wananchi wataka kuongea na kipenzi cha Watanzania

Uchaguzi 2020 Akiwa njiani kwenda Tarime, Tundu Lissu asimamishwa Lamadi-Simiyu, wananchi wataka kuongea na kipenzi cha Watanzania

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Tukiwa njiani kwenda kuhutubia maelfu ya watu Tarime na Bunda ghafla tukavamiwa na halaiki hapa Busega Simiyu.

Bado safari inaendelea.

20200812_140951.jpg
 
Jamaa ni kama nabii anaposhambuliwa zaidi ndio wafuasi wake wanaongezeka zaidi

CCM wajiandae kukabidhi Ikulu upepo wa Lissu hata wabunge wengi unaondoka nao.

Uchaguzi wa mwaka huu unaonekana kuwa na maajabu mengi sana tuendelee kuwepo.
 
Mataga bhana, wanasema eti kalipa watu, mara boda boda wamelipwa!
Hivi ni nani asiyetaka kuuona ukuu wa Mungu kupitia kwake?
Ni nani ataacha kumpa kura Lissu?

Wanatapatapa, hawajaelewa tu kuwa Watu wamewachoka. Mimi naona huyo Magufuli asiende kwenye uchaguzi ajiuzulu kwani ni aibu sana kwake kwa haya yanayotokea.

Kila mtu anailaani CCM.
 
Safi sana,

Jiwe alizuia shughuri za kisiasa za vyama vya upinzani tangu 2015. Ni CCM pekee iliyokuwa inafanya siasa, sasa kampeni zimeanza,ndani ya wiki tu, CCM na jiwe wameuona mziki wa TL, mishuzi inawatoka tu, wanafungia vyombo vya habari kila siku, sasa imagini, upinzani wangekuwa wanafanya kampeni tangu 2015! Hari ingekuaje?

Jiwe hawezi siasa, ni kiongozi wa vitendo, namsifu kwa Hilo,ila anakosea sana, akidhani yeye ndie pekee anayejua watz milioni 55, wanataka nini.
 
Safi sana,
Jiwe alizuia shughuri za kisiasa za vyama vya upinzani tangu 2015.Ni ccm pekee iliyokuwa inafanya siasa,sasa kampeni zimeanza,ndani ya wiki tu,ccm na jiwe wameuona mziki wa TL,mishuzi inawatoka tu,wanafungia vyombo vya habari kila siku,sasa imagini,upinzani wangekuwa wanafanya kampeni tangu 2015!Hari ingekuaje?
Jiwe hawezi siasa,ni kiongozi wa vitendo,namsifu kwa Hilo,ila anakosea sana,akidhani yeye ndie pekee anayejua watz milioni 55,wanataka nini,
Jamaa mjanja kaanza na kanda ya ziwa
 
Tukiwa njiani kwenda kuhutubia maelfu ya watu Tarime na Bunda ghafla tukavamiwa na halaiki hapa Busega Simiyu.

Bado safari inaendelea.


Mkuu unatupa raha sana kwenye upashanaji habari wako. Msafiri salama, Mungu awe nanyi. Mpe salamu nyingi sana Rais wetu kipenzi Mh Tundu Lissu. Mkumbushe kwamba Taifa linamtegemea sana kwenye safari hii ya ukombozi.
 
Muwe makini sana na hao watu wenye kijani, unaweza kuta wakajificha kwenye magorofa au juu ya miti wakisubiri kupata upenyo wa kumtungua Lissu.

Huyo atayejaribu kufanya hayo , atawageuza watu simba kwani ataliwa bila kuchomwa mshikaki
 
Back
Top Bottom