Uchaguzi 2020 Akiwa njiani kwenda Tarime, Tundu Lissu asimamishwa Lamadi-Simiyu, wananchi wataka kuongea na kipenzi cha Watanzania

Uchaguzi 2020 Akiwa njiani kwenda Tarime, Tundu Lissu asimamishwa Lamadi-Simiyu, wananchi wataka kuongea na kipenzi cha Watanzania

Mataga bhana, wanasema eti kalipa watu, mara boda boda wamelipwa!

Hivi ni nani asiyetaka kuuona ukuu wa Mungu kupitia kwake?

Ni nani ataacha kumpa kura Lissu?
Si hao hao ndio walisema eti huyo ni mgombea ambaye hana pesa sasa tena kazitoa wapi.
 
Jamaa ni kama nabii anaposhambuliwa zaidi ndio wafuasi wake wanaongezeka zaidi

CCM wajiandae kukabidhi Ikulu upepo wa Lissu hata wabunge wengi unaondoka nao.

Uchaguzi wa mwaka huu unaonekana kuwa na maajabu mengi sana tuendelee kuwepo.
Baada ya kuanza tu zile hila za kununua madiwani na wabunge...wenye akili tukajua hamna chama cha siasa humo.
 
Tukiwa njiani kwenda kuhutubia maelfu ya watu Tarime na Bunda ghafla tukavamiwa na halaiki hapa Busega Simiyu.

Bado safari inaendelea.

Bunda hiyo
tapatalk_1597236135203.jpg
 
Tukiwa njiani kwenda kuhutubia maelfu ya watu Tarime na Bunda ghafla tukavamiwa na halaiki hapa Busega Simiyu.

Bado safari inaendelea.

Ningekuwa Magu ningeomba either corona iniue haraka au ningejishusha na kuomba msamaha.Ila kujaribu mbinu nyingine yoyote eti unategemea jeshi na police,unaweza ukajikuta pabaya zaidi but let's wait and see
 
Baada ya kuanza tu zile hila za kununua madiwani na wabunge...wenye akili tukajua hamna chama cha siasa humo.
Mkuu chama kipo Ila waliopewa kukiongoza ni empty heads
 
Back
Top Bottom