Si hao hao ndio walisema eti huyo ni mgombea ambaye hana pesa sasa tena kazitoa wapi.Mataga bhana, wanasema eti kalipa watu, mara boda boda wamelipwa!
Hivi ni nani asiyetaka kuuona ukuu wa Mungu kupitia kwake?
Ni nani ataacha kumpa kura Lissu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si hao hao ndio walisema eti huyo ni mgombea ambaye hana pesa sasa tena kazitoa wapi.Mataga bhana, wanasema eti kalipa watu, mara boda boda wamelipwa!
Hivi ni nani asiyetaka kuuona ukuu wa Mungu kupitia kwake?
Ni nani ataacha kumpa kura Lissu?
Baada ya kuanza tu zile hila za kununua madiwani na wabunge...wenye akili tukajua hamna chama cha siasa humo.Jamaa ni kama nabii anaposhambuliwa zaidi ndio wafuasi wake wanaongezeka zaidi
CCM wajiandae kukabidhi Ikulu upepo wa Lissu hata wabunge wengi unaondoka nao.
Uchaguzi wa mwaka huu unaonekana kuwa na maajabu mengi sana tuendelee kuwepo.
Bunda hiyoTukiwa njiani kwenda kuhutubia maelfu ya watu Tarime na Bunda ghafla tukavamiwa na halaiki hapa Busega Simiyu.
Bado safari inaendelea.
Hahahaaaa....... Umeshapagawa!Tumuulize @biayetu ambaye sasaivi anatumia ID ya johnthebaptist
Ningekuwa Magu ningeomba either corona iniue haraka au ningejishusha na kuomba msamaha.Ila kujaribu mbinu nyingine yoyote eti unategemea jeshi na police,unaweza ukajikuta pabaya zaidi but let's wait and seeTukiwa njiani kwenda kuhutubia maelfu ya watu Tarime na Bunda ghafla tukavamiwa na halaiki hapa Busega Simiyu.
Bado safari inaendelea.
@Biayetu kapotelea wapi au ndio ID IMEKUFAHahahaaaa....... Umeshapagawa!
Mkuu chama kipo Ila waliopewa kukiongoza ni empty headsBaada ya kuanza tu zile hila za kununua madiwani na wabunge...wenye akili tukajua hamna chama cha siasa humo.
Mfate inbox bwashee au unamuogopa?!@Biayetu kapotelea wapi au ndio ID IMEKUFA
NotedMataga bhana, wanasema eti kalipa watu, mara boda boda wamelipwa!
Hivi ni nani asiyetaka kuuona ukuu wa Mungu kupitia kwake?
Ni nani ataacha kumpa kura Lissu?
Amefunikwa na damu ya Yesu huyo hawamuweziAwe makini huko kuna gamboshi
Bageshi,tupo njema Busega.Tukiwa njiani kwenda kuhutubia maelfu ya watu Tarime na Bunda ghafla tukavamiwa na halaiki hapa Busega Simiyu.
Bado safari inaendelea.
KachanganyikiwaTumuulize @biayetu ambaye sasaivi anatumia ID ya johnthebaptist
Sirro au ziro.Sirro atakuja sasahivi na kauli
Asubuhi unavaa kijani usiku red watajiju wakati wanahesabu kuraHata CCM tunamkubali na tutampa kura