The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Issue ni kupotea jukwaani.Mfate inbox bwashee au unamuogopa?!
Yohana vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue ni kupotea jukwaani.Mfate inbox bwashee au unamuogopa?!
Natafakari stress utakazopata baada ya uchaguzi!Jamaa ni kama nabii anaposhambuliwa zaidi ndio wafuasi wake wanaongezeka zaidi
CCM wajiandae kukabidhi Ikulu upepo wa Lissu hata wabunge wengi unaondoka nao.
Uchaguzi wa mwaka huu unaonekana kuwa na maajabu mengi sana tuendelee kuwepo.
Kodi yake hiyo pamoja na misaada ya wahisani imejenga barabara za lami, mwache atembee kwenye taxi.Naona jamaa anatumia taxi...raha ya barabara za rami. Hata mzee Sipunda atatumia bajaji
hiisio ujumbe wa muungwanaHapo Nzi wa kijani wanachukia
Hwakumpigia deki na kuweka mashuka barabarani ili mataili ya gari yake yasichafuke?Tukiwa njiani kwenda kuhutubia maelfu ya watu Tarime na Bunda ghafla tukavamiwa na halaiki hapa Busega Simiyu.
Bado safari inaendelea.
Kwaninni mkuuhiisio ujumbe wa muungwana
mwanza bado,akifika huko hata ukiwa chini ya uvungu bila device utamsikia tu kamandaVipi mmefika Mwanza? Ilikuwaje? Tunasubiri kwa hamu matukio na picha, tafadhali.
Kwa kuwa wao wanafanya hivyo ndio mana wanasingizie na wengine, watu wanaenda wenyewe kwa kutumia rasilimali zao na kwa mapenzi yao,hawasombwi na fuso kama magunia ya mahindiMataga bhana, wanasema eti kalipa watu, mara boda boda wamelipwa!
Hivi ni nani asiyetaka kuuona ukuu wa Mungu kupitia kwake?
Ni nani ataacha kumpa kura Lissu?
GholeghoseseLissu ni domokaya
Halafu ni hao hao waliokuwa wakidai kuwa Lissu hana pesa......!!Mataga bhana, wanasema eti kalipa watu, mara boda boda wamelipwa!
Hivi ni nani asiyetaka kuuona ukuu wa Mungu kupitia kwake?
Ni nani ataacha kumpa kura Lissu?
Mwanza wamepakimbia baada ya kuona hakuna mtu mwenye shobo naye.Vipi mmefika Mwanza? Ilikuwaje? Tunasubiri kwa hamu matukio na picha, tafadhali.
Na subiri maana hii ni trailer picha halisi bado! Subiri tuanze kampeni kuna mtu atalazwa hospital. Ila namwomba asije akajifisha akasababisha tuahirishe uchaguzi kwa muda!Sasa nimeamini moto wa Lissu si wa kitoto!!
Siyo hivyo tu mkuu pia walisema Lissu hajulikani vijijini.Halafu ni hao hao waliokuwa wakidai kuwa Lissu hana pesa......!!