Uchaguzi 2020 Akiwa njiani kwenda Tarime, Tundu Lissu asimamishwa Lamadi-Simiyu, wananchi wataka kuongea na kipenzi cha Watanzania

Uchaguzi 2020 Akiwa njiani kwenda Tarime, Tundu Lissu asimamishwa Lamadi-Simiyu, wananchi wataka kuongea na kipenzi cha Watanzania

Jamaa ni kama nabii anaposhambuliwa zaidi ndio wafuasi wake wanaongezeka zaidi

CCM wajiandae kukabidhi Ikulu upepo wa Lissu hata wabunge wengi unaondoka nao.

Uchaguzi wa mwaka huu unaonekana kuwa na maajabu mengi sana tuendelee kuwepo.
Natafakari stress utakazopata baada ya uchaguzi!

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Jamani wananchi kaeni kwa kutulia, muda wa kampeni baaaadoooo!
 
Kipenzi cha chadema sio watanzania ...

Maana kama ni kipenzi cha watanzania basi watanzania wangeandamana alivyopigwa Risasi
 
Tukiwa njiani kwenda kuhutubia maelfu ya watu Tarime na Bunda ghafla tukavamiwa na halaiki hapa Busega Simiyu.

Bado safari inaendelea.

Hwakumpigia deki na kuweka mashuka barabarani ili mataili ya gari yake yasichafuke?
Itachukua muda kuvunja rekodi ya EL alipokwenda upinzani. Na aliangukia pua
 
Mataga bhana, wanasema eti kalipa watu, mara boda boda wamelipwa!

Hivi ni nani asiyetaka kuuona ukuu wa Mungu kupitia kwake?

Ni nani ataacha kumpa kura Lissu?
Kwa kuwa wao wanafanya hivyo ndio mana wanasingizie na wengine, watu wanaenda wenyewe kwa kutumia rasilimali zao na kwa mapenzi yao,hawasombwi na fuso kama magunia ya mahindi
 
Sija wahi kuisalit ila 2020 itanibidi ni saliti nipigie huyo mzee wa Au sio kulingana na sababu zangu binafsi
 
Mataga bhana, wanasema eti kalipa watu, mara boda boda wamelipwa!

Hivi ni nani asiyetaka kuuona ukuu wa Mungu kupitia kwake?

Ni nani ataacha kumpa kura Lissu?
Halafu ni hao hao waliokuwa wakidai kuwa Lissu hana pesa......!!
 
Sasa nimeamini moto wa Lissu si wa kitoto!!
Na subiri maana hii ni trailer picha halisi bado! Subiri tuanze kampeni kuna mtu atalazwa hospital. Ila namwomba asije akajifisha akasababisha tuahirishe uchaguzi kwa muda!
 
Back
Top Bottom