mbenge, unabii umetimia kama ulivyoagizaKuna moja ya uzi ulishawahi kuletwa hapa jukwaani wa "One term president" nafikiri sasa ni wakati wake wakufikia utimilifu wake wote. Zile sauti za kolidoni na wale wahusika sasa ni wakati wao wakutimiza unabii huu.
mbaguzi na mkabila ndo huyo kashaendaBasically ni kuwa kwa sasa hakuna mpinzani anayefaa
Huyu Shetani Mungu kamuonyesha uwezo. Kaiba kura za Oktoba 2020 zote Ila Mungu kamuacha siku 120 ambazo alikuwa anahangaika na mamitungi ya oxygen. Kisha kachukua roho yake.mbaguzi na mkabila ndo huyo kashaenda
DuhKuna moja ya uzi ulishawahi kuletwa hapa jukwaani wa "One term president" nafikiri sasa ni wakati wake wakufikia utimilifu wake wote. Zile sauti za kolidoni na wale wahusika sasa ni wakati wao wakutimiza unabii huu.
AiseeeTuwekee kipande video mkuu, mkoloni mweusi hatari, akumbuke alipo mzee Mkapa leo akanyage kwa adabu ardhi ya Muumba.
Watu mliona mapemaMkimuona Magufuli ni kama vile anumwa ngozi umepauka pauka hivi ngozi imejikunja kunja haishiki mafuta .
Maneno mabaya ya huyu mtu wenu yatamwandama hadi siku ya kiamaManeno ya Kampeni tu na wanaoambiwa Wana utashi na akili zao, wakiruhusu hilo, Sawa!
Mimi ni mshabiki wa Magufuli Ila Mbunge ni lazima nipembue anayenifaa, awe ni wa CCM au Chama chochote kile
Yametimia mkuuKuna moja ya uzi ulishawahi kuletwa hapa jukwaani wa "One term president" nafikiri sasa ni wakati wake wakufikia utimilifu wake wote. Zile sauti za kolidoni na wale wahusika sasa ni wakati wao wakutimiza unabii huu.
wacha weeeee !!!Basically ni kuwa kwa sasa hakuna mpinzani anayefaa
Hawezi kuwa anafaa, kwa sababu chungu lazima kiwe na mafia matatu DIWANI MBUNGE NA RAIS. Magufuli alijieleza vi urine Tabata siku ile akimnadi Gwajima. Alisema kuwa Mbunge Halima alikuwa anapinga bajeti za kusaidia ujenzi Kawe kwa vile tu ni mpinzani. Utasema "anafaa"?Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa.
Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa uongozi ni kuhujumu uchaguzi mkuu.
Maneno kama haya kuzungumziwa wananchi ni kama kuwatisha kwa kuwanyima haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi bora. Kauli hii haikubaliki kamwe.
Mbaya zaidi kauli kama hizi ndizo zinaleta mzozo mkubwa siku za kutangaza matokeo. Kimsingi kauli hii ninaiona kama imetoka katika kinywa kilichokosa ustaarabu mkubwa wa kisiasa. Mbaya zaidi anayezungumza ni kiongozi wa nchi anayehubiri kuwa maendeleo hayana chama.