Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Is this matter so serious in Kenya!? What's not happening out there?
Kwanini mlitumia nguvu nyingi, tena mlitumia wanasheria waliobobea kuwatetea watuhumiwa, nguvu hizo kwanini zisitumike kuwatafuta watuhumiwa?, tangu katiba ilipoandikwa ni miaka saba sasa kwanini msiwatafute na kuwakamata watuhumiwa?, hadi leo watu wanaendelea kupigwa risasi hovyo hovyo na polisi mbele ya katiba yenu na hakuna kinachotokea, zaidi ya sifa za kijinga, katiba imesaidia nini?Hatukua na working constitution and proper judiciary in place wakati huo. This time our Judiciary and Constitution is busy fighting for the people's rights. Hatuna pressure thanks to the two.
Hii katiba yetu kijinga ndo iko busy shaping the future of our country. Kama wewe waona ni ujinga just watch this space, I can't argue with a buffoon like you.Kwanini mlitumia nguvu nyingi, tena mlitumia wanasheria waliobobea kuwatetea watuhumiwa, nguvu hizo kwanini zisitumike kuwatafuta watuhumiwa?, tangu katiba ilipoandikwa ni miaka saba sasa kwanini msiwatafute na kuwakamata watuhumiwa?, hadi leo watu wanaendelea kupigwa risasi hovyo hovyo na polisi mbele ya katiba yenu na hakuna kinachotokea, zaidi ya sifa za kijinga, katiba imesaidia nini?
Unaona mawazo ya ajabu hayo, kitaba haifanyi lolote kutoa haki ya msingi kwa wananchi wake, haijali wala haitafuti ufumbuzi wa kuhakikisha maelfu ya watu waliopoteza maisha tangu 2007 hadi leo yameshughulikiwa, katiba haizuii extrajudicial killings zinazoendelea kufanywa na vyombo vya dola kila siku, katiba haizii mauaji miongoni mwa koo za wafugaji, eti katiba inajali uchumi tu, hayo ndiyo matokeo ya kukumbatia ubepari katika mazingira ya umasikini, ninakuhakikishia hata kama uchumi utaimarika, lakini hamtakaa kwa amani Kenya.Hii katiba yetu kijinga ndo iko busy shaping the future of our country. Kama wewe waona ni ujinga just watch this space, I can't argue with a buffoon like you.
Sijui kama ukona masomo ya kutosha but I doubt, Having a good constitution and a working Judiciary is one part but we still need proper police reforms, empower the office of the DPP and a few holes to be patched here and there. Then the issues you are raising can be handled upon diligently. One arm of government and a few institutions can not fix our problems singlehandedly, coordination from various angles is vital. We are glad marching on well with the course.Unaona mawazo ya ajabu hayo, kitaba haifanyi lolote kutoa haki ya msingi kwa wananchi wake, haijali wala haitafuti ufumbuzi wa kuhakikisha maelfu ya watu waliopoteza maisha tangu 2007 hadi leo yameshughulikiwa, katiba haizuii extrajudicial killings zinazoendelea kufanywa na vyombo vya dola kila siku, katiba haizii mauaji miongoni mwa koo za wafugaji, eti katiba inajali uchumi tu, hayo ndiyo matokeo ya kukumbatia ubepari katika mazingira ya umasikini, ninakuhakikishia hata kama uchumi utaimarika, lakini hamtakaa kwa amani Kenya.
Tofauti (za Ukabila) hazitakaa ziishe Kenya unless wapate kiongozi (non-Kenyan). Pale KQ walileta ukabila kidogo shirika liwafie wakastuka wakaenda kumleta Mzungu angalau sasa shirika linapumua.Hapa Kenya mnahtaji kuwa makini na tofauti zenu
Acha maneno mengi na kiingereza mingi, kazi ya katiba ni kuhakikisha maisha ya wananchi yanalindwa na maisha yao yanakuwa bora zaidi kuliko jana, hayo yote ya judicial, police, security yapo chini ya katiba, kama maisha ya wananchi kwa jinsi yoyote ile hayaendi vizuri then lazima katiba isimame imara kutatua matatizo hayo, kama katiba haiwezi kusimamia jidicial, au police kutimiza majukumu yake, then that is useless constitution.Sijui kama ukona masomo ya kutosha but I doubt, Having a good constitution and a working Judiciary is one part but we still need proper police reforms, empower the office of the DPP and a few holes to be patched here and there. Then the issues you are raising can be handled upon diligently. One arm of government and a few institutions can not fix our problems singlehandedly, coordination from various angles is vital. We are glad marching on well with the course.
hiii nayo ni hoja nzuri...within Commonwealth countries juuu hakuna kuelewana hapaTofauti (za Ukabila) hazitakaa ziishe Kenya unless wapate kiongozi (non-Kenyan). Pale KQ walileta ukabila kidogo shirika liwafie wakastuka wakaenda kumleta Mzungu angalau sasa shirika linapumua.
UN ni mbwa asiye na meno (diplomasia nyingi) hawez kumuamuru ICCHii taarifa ina ukweli?
Arrest and prosecute Fred Matiang’i, UN tells ICC - THE BIG ISSUE
Hah hah hah hah, outsourcing the presidentTofauti (za Ukabila) hazitakaa ziishe Kenya unless wapate kiongozi (non-Kenyan). Pale KQ walileta ukabila kidogo shirika liwafie wakastuka wakaenda kumleta Mzungu angalau sasa shirika linapumua.
Your prayers are well known but are never answered.Two things either mass revolution or civilian war as ballot box has proven a failure.
Hivi sasa hiyo katiba yenyu inamlinda vipi Tundu Lissu ama yeye si Mtanzania?Acha maneno mengi na kiingereza mingi, kazi ya katiba ni kuhakikisha maisha ya wananchi yanalindwa na maisha yao yanakuwa bora zaidi kuliko jana, hayo yote ya judicial, police, security yapo chini ya katiba, kama maisha ya wananchi kwa jinsi yoyote ile hayaendi vizuri then lazima katiba isimame imara kutatua matatizo hayo, kama katiba haiwezi kusimamia jidicial, au police kutimiza majukumu yake, then that is useless constitution.
Tatizo la Kenyans ni kutokujitambua na kujua msingi hasa wa matatizo ya wakenya ninini, wao walidhani matatizo yao yanatokana na katiba, na walidhani katiba ikipatikana ndiyo itakuwa solution ya matatizo yote, it was wrong diagnosis which led to wrong treatment, disease was not cured it continues to bite.
Nonsense brainHivi sasa hiyo katiba yenyu inamlinda vipi Tundu Lissu ama yeye si Mtanzania?
We mzaramo unapenda sana umbea, we me au ke?What do u mean Wakenya? Sema non Kikuyus n Kalenjins..