Akombe: IEBC's chairman Chebukati is under house arrest

Kenyatta inaonekana kuwa ni lazima ashinde Odinga ametumia mbinu za Maalim kususia uchaguzi lkn Kenyatta ameamua ku-copy mbinu za Ccm na SMZ lkn Kenya haifanani na Zanzibar ingawa IEBC ya Chebukati inafanana ya ZEC ya Jecha.

Kwa hali iliyopo kama Kenyatta hawakaribishi mezani NASA na kuangalia uwezekano wa coalition govt au trandition govt hatawaeza kuongoza Kenya, na kwa jinsi ilivyo Wakenya sidhani kama watakubaliana na hali ya kulazimisha mambo.

Vv
 
Hatukua na working constitution and proper judiciary in place wakati huo. This time our Judiciary and Constitution is busy fighting for the people's rights. Hatuna pressure thanks to the two.
Kwanini mlitumia nguvu nyingi, tena mlitumia wanasheria waliobobea kuwatetea watuhumiwa, nguvu hizo kwanini zisitumike kuwatafuta watuhumiwa?, tangu katiba ilipoandikwa ni miaka saba sasa kwanini msiwatafute na kuwakamata watuhumiwa?, hadi leo watu wanaendelea kupigwa risasi hovyo hovyo na polisi mbele ya katiba yenu na hakuna kinachotokea, zaidi ya sifa za kijinga, katiba imesaidia nini?
 
Hii katiba yetu kijinga ndo iko busy shaping the future of our country. Kama wewe waona ni ujinga just watch this space, I can't argue with a buffoon like you.
 
Unaona mawazo ya ajabu hayo, kitaba haifanyi lolote kutoa haki ya msingi kwa wananchi wake, haijali wala haitafuti ufumbuzi wa kuhakikisha maelfu ya watu waliopoteza maisha tangu 2007 hadi leo yameshughulikiwa, katiba haizuii extrajudicial killings zinazoendelea kufanywa na vyombo vya dola kila siku, katiba haizii mauaji miongoni mwa koo za wafugaji, eti katiba inajali uchumi tu, hayo ndiyo matokeo ya kukumbatia ubepari katika mazingira ya umasikini, ninakuhakikishia hata kama uchumi utaimarika, lakini hamtakaa kwa amani Kenya.
 
Sijui kama ukona masomo ya kutosha but I doubt, Having a good constitution and a working Judiciary is one part but we still need proper police reforms, empower the office of the DPP and a few holes to be patched here and there. Then the issues you are raising can be handled upon diligently. One arm of government and a few institutions can not fix our problems singlehandedly, coordination from various angles is vital. We are glad marching on well with the course.
 
Acha maneno mengi na kiingereza mingi, kazi ya katiba ni kuhakikisha maisha ya wananchi yanalindwa na maisha yao yanakuwa bora zaidi kuliko jana, hayo yote ya judicial, police, security yapo chini ya katiba, kama maisha ya wananchi kwa jinsi yoyote ile hayaendi vizuri then lazima katiba isimame imara kutatua matatizo hayo, kama katiba haiwezi kusimamia jidicial, au police kutimiza majukumu yake, then that is useless constitution.

Tatizo la Kenyans ni kutokujitambua na kujua msingi hasa wa matatizo ya wakenya ninini, wao walidhani matatizo yao yanatokana na katiba, na walidhani katiba ikipatikana ndiyo itakuwa solution ya matatizo yote, it was wrong diagnosis which led to wrong treatment, disease was not cured it continues to bite.
 
Wakenya musikubali. Nchi haiwezi kuendelea na kuchuma kwa machafuko. Musikubali wanasiasa wawarudishe nyuma. Uchaguzi umalizike na maisha yaendelee. Haya maisha yenu ya sasa hivi, watoto hawaendi shule, wakenya hawafanyi biashara, basi hofu moja kwa moja
 
Geza punguza propaganda Chebukati yupo anniversary Tower muda huu chairing iebc kikao.
 
Mr.chebukati na chiloba wameona makosa na fika hata ukitumia UV lights utaona mioyo yao inawasuta.This man ooh raila dooh is an intelligent human especially with his lawyers team led by orengo,they are really about to show the true democracy in kenya
 
Acha maneno mengi na kiingereza mingi, kazi ya katiba ni kuhakikisha maisha ya wananchi yanalindwa na maisha yao yanakuwa bora zaidi kuliko jana, hayo yote ya judicial, police, security yapo chini ya katiba, kama maisha ya wananchi kwa jinsi yoyote ile hayaendi vizuri then lazima katiba isimame imara kutatua matatizo hayo, kama katiba haiwezi kusimamia jidicial, au police kutimiza majukumu yake, then that is useless constitution.

Tatizo la Kenyans ni kutokujitambua na kujua msingi hasa wa matatizo ya wakenya ninini, wao walidhani matatizo yao yanatokana na katiba, na walidhani katiba ikipatikana ndiyo itakuwa solution ya matatizo yote, it was wrong diagnosis which led to wrong treatment, disease was not cured it continues to bite.
Hivi sasa hiyo katiba yenyu inamlinda vipi Tundu Lissu ama yeye si Mtanzania?
 
Back
Top Bottom