Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Kenyatta inaonekana kuwa ni lazima ashinde Odinga ametumia mbinu za Maalim kususia uchaguzi lkn Kenyatta ameamua ku-copy mbinu za Ccm na SMZ lkn Kenya haifanani na Zanzibar ingawa IEBC ya Chebukati inafanana ya ZEC ya Jecha.
Kwa hali iliyopo kama Kenyatta hawakaribishi mezani NASA na kuangalia uwezekano wa coalition govt au trandition govt hatawaeza kuongoza Kenya, na kwa jinsi ilivyo Wakenya sidhani kama watakubaliana na hali ya kulazimisha mambo.
Vv