Akon aongeza moto kwenye Petroli

Yaani kwenye elfu kumi apate bigbom ya 200, naendelea kutafakari, akipata chips kuku robo kwa huku usahilini 4000 inabidi uitwe kwenye kikao kwa huu ubadhilifu
Na kwenye kikao unasimamishwa ili wanachama wakuone na unakua mfano mbaya wa ubadhilifu wa mali yako bila kukusudia maana mda unatoa kichwa cha chini ndio kilikua kinafanya kazi.
 
Santeeeee
Yaani mpenzi hajaolewa ashaonesha mwelekeo.


Dawa ni kukataa utapeli unaoitwa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…