Akon aongeza moto kwenye Petroli

Hatimaye ule msemo wanaume tutafute hela Ili mapenzi yanoge Akon ameugeuza kichwa chini miguu juu🤣🤣

Kabla ya kuhitimisha mada wajumbe na Mimi nakazia hiyo asilimia mbili aliyosema Akon ni kubwa sana.Tukienda na asimia moja mpaka moja na nusu ya jumla ya mapato yetu yote dunia itakuwa sehemu salama ya kuishi
 
Mbinu za utajiri ni Mbili tu,
1.Upunguze matumiz ikiwa kipato chako ni kidogo
2.Uongeze kipato ili umaintain kiwango cha matumiz yako.
Hizo zote ni aina za Ubahiri.

Namaanisha Mbinu za Utajiri ni ubahiri hasa kwenye starehe na kufurahisha watu specifically kuhonga.
 
Mkuu usichokijua ni kwamba kipindi hicho Akon alikuwa anakaimu uongozi kama Naibu mwenyekiti wa CHAMA CHA WANAUME BAHILI DUNIANI (STINGY MEN ASSOCIATION)
 
Wanawake bhana, anapewa milioni 13 anasusa, awaulize wenzie, awajawahi kula hata buku na hawabembelezwi wala nini
Niliwahi kuwa na demu akiamini tako litanitia wazimu. Nilikuta ana dhiki balaa kuna wakati hata ya kula anakosa. nikawa namtoa hela ndogo ndogo tu, ikizidi sana 50k. Baada ya kuzoea akanichana eti sijawahi kumsaidia kikubwa zaidi ya hela ndogo ndogo. Uzuri nilishamfaidi, ikawa simple kumkaushia.
Baada ya wiki analia ameshinda njaa. Nikaishia kumtumia sms zake za "pesa ndogo ndogo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…