Akon aongeza moto kwenye Petroli

Akon aongeza moto kwenye Petroli

"Nilipopata kwa mara ya kwanza takribani bilion 3 ,niliwapa mama na baba yangu zaidi ya milioni 400 kila mmoja na mwanamke wangu akaachana namimi kwa sababu nilimpa milioni 13 tu." __ Akon

"Nilipopata bilion 3 yangu ya kwanza kutoka kwenye muziki, nilifurahi sana kwamba nilitumia kila kitu haraka sana. Kitu cha kwanza nilichonunua ni studio ili ikiwa kila kitu kitashindikana, niwe naandika na kutengeneza rekodi za wasanii wengine.

Nilitumia takriban m 680 kwenye seti hiyo ya studio. Kisha nikachukua m 400 na kumpa mama yangu, nikachukua ml 400 nyingine na kumpa baba yangu, na kuwapa ndugu zangu wote kama m 68 kila mmoja ili aweze kuanzisha biashara. Na wakati mpenzi wangu alipokuja kugundua kuhusu hilo, yeye akataka nimpe milion 545 Lakini mimi nilicheka tu na kumpa milion 13 kwa sababu siwezi kamwe kumpa mwanamke zaidi ya 2% ya jumla ya fedha yangu.

Baada ya kuona hivo akaamua kuachana na mimi kwa sababu niligundua kuwa anataka pesa tu na sio mimi. Jambo ni kwamba ikiwa unataka kuendelea kuwa tajiri kama mwanaume, lazima uwe mchoyo zaidi na hawa wanawake. Akon

NB : kiasi hicho cha pesa ni katika US DOLLAR sema hapo nimeconvert kuwa Tsh ili ieleweke vizuri kile Akon anasema.
Siajelewa rudisha kwenye dollar tafadhali
 
Niliwahi kuwa na demu akiamini tako litanitia wazimu. Nilikuta ana dhiki balaa kuna wakati hata ya kula anakosa. nikawa namtoa hela ndogo ndogo tu, ikizidi sana 50k. Baada ya kuzoea akanichana eti sijawahi kumsaidia kikubwa zaidi ya hela ndogo ndogo. Uzuri nilishamfaidi, ikawa simple kumkaushia.
Baada ya wiki analia ameshinda njaa. Nikaishia kumtumia sms zake za "pesa ndogo ndogo".

Simping isn't for everybody. Halafu haya mambo ya kuwapa mademu pesa inategemea na mfumo wa maisha yako unayoishi na aina ya wale unaowachukua.
 
Simping isn't for everybody. Halafu haya mambo ya kuwapa mademu pesa inategemea na mfumo wa maisha yako unayoishi na aina ya wale unaowachukua.
Tuwape hela jamani watakufa njaaa hawa viumbe🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom