Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Kuna yule kijana mzurii anatembea nae sijui meneja wake,,nahisi jamaa lishamfyekeleaBado anadanga, anatafuta sponsor amzalishe tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna yule kijana mzurii anatembea nae sijui meneja wake,,nahisi jamaa lishamfyekeleaBado anadanga, anatafuta sponsor amzalishe tena
Kuna yule kijana mzurii anatembea nae sijui meneja wake,,nahisi jamaa lishamfyekelea
Siamini kama ulikusudia kuandikaJamani namfollow huyu bidada insta , Ila siku hizi anaboa na post zake za ulimbukeni na wazungu wake , mpaka mda mwingine natamani kabisa kum unfollow sema na Mimi kupenda umbea sasa mxieew ....
@warumi hua nakukubali sana. Kipindi fulani ulikua kimya sana, niliteseka.Umbea tu na wewe mxiew ebu ntokee apa
Mimi sipendi vile vinguo anavaa akiwa stegin,tako jeusi ka langu lakini bado yumo tu nauku mwenzie nalifichaga karibia ata nguo nane nikiwa na bebe sembuse walimwengu.
Hahaahaaa we mi rangi ya mtume mashallah.nimenogesha tu kijiwe cha warumi[/QUOTE]QUOTE="Nokia83, post: 28801973, member: 200158"]Jeusi sn?!
Mimi sipendi vile vinguo anavaa akiwa stegin,tako jeusi ka langu lakini bado yumo tu nauku mwenzie nalifichaga karibia ata nguo nane nikiwa na bebe sembuse walimwengu.