Akothee nini mbaya na wewe? Unaboa aiseeh

Akothee nini mbaya na wewe? Unaboa aiseeh

Jamani namfollow huyu bidada insta , Ila siku hizi anaboa na post zake za ulimbukeni na wazungu wake , mpaka mda mwingine natamani kabisa kum unfollow sema na Mimi kupenda umbea sasa mxieew ....
Siamini kama ulikusudia kuandika
 
kwanini usiende kuandika katika page yake hii insha yako
hapa huyo akothee hayupo... ni vizur uende kumface
ewe mpenda umbea... mwambie aishi unavyotaka wewe
 
Mkuu utapata shida sana kama ulikua huwajui Wakenya ni wabaguzi sana haswa kwa makabila utakuta mara Luo man, this Kalenjin woman, mara kikuyu guy ni kama wanigeria vile hawawezi zungumnza kitu mpaka wahusishe kabila
 
Hatareeeee. Kumaintain status hasa kwa superstars it cost a lot. Acheni awabembeleze wazidi kutoa dolari
 
Achaneni na Akothee. Hizi statements zake zinajitosheleza
 
The naked facts kama hutaki jibebe
 

Attachments

  • Screenshot_2018-10-16-17-03-33-1.png
    Screenshot_2018-10-16-17-03-33-1.png
    65.6 KB · Views: 24
  • Screenshot_2018-10-16-17-03-48-1.png
    Screenshot_2018-10-16-17-03-48-1.png
    42.8 KB · Views: 24
  • Screenshot_2018-10-16-17-07-26-1.png
    Screenshot_2018-10-16-17-07-26-1.png
    40.7 KB · Views: 22
QUOTE="Nokia83, post: 28801973, member: 200158"]Jeusi sn?![/QUOTE]
Hahaahaaa we mi rangi ya mtume mashallah.nimenogesha tu kijiwe cha warumi
 
Nakushauri usije na maneno matupu bila Picha ktk hizi nyuzi zako za celebrities sasa sisi tutamjuaje huyo Akothee
 
Afanye yeye uumie wewe...wazimu
 
QUOTE="Nokia83, post: 28801973, member: 200158"]Jeusi sn?!
Hahaahaaa we mi rangi ya mtume mashallah.nimenogesha tu kijiwe cha warumi[/QUOTE]

Unaogopa kuombwa picha [emoji23][emoji23]
 
Mimi sipendi vile vinguo anavaa akiwa stegin,tako jeusi ka langu lakini bado yumo tu nauku mwenzie nalifichaga karibia ata nguo nane nikiwa na bebe sembuse walimwengu.

Tigo nyeusi mbona dili sana...hongera
 
Back
Top Bottom