Aku bibi,narudi zangu kwa mpenzi wangu wa zamani.

Aku bibi,narudi zangu kwa mpenzi wangu wa zamani.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Heshima mbele wakuu.juzi nikiwa zangu kwenye moja ya lecture hall maarufu hapa chuon kwetu nikisubir pindi lianze,nlibahatika kunasa maongezi ya wadada flani hvi ambao walikua wamekaa jirani yangu,maongez yao yalikua hvi ''aku bibi,me narudi zangu kwa mpenzi wangu wa zaman,huyu{akataja jina la msela}ingawa ananipenda sana but kikwel i dont feel anythng on him,nilikua nae ili tu kufanya maisha ya hapa chuo yawe marahisi,si unaona hata vile ambavyo nimeanza kumpotezea taratibu,nataka mpaka ikifika mwezi wa 6 mwishon nimwambie kila kitu tulichofanya wkt wa uhusiano wetu kibaki kuwa historia,kwa kifupi he has to forget everythng abt me,eti jana kajikosha kunitoa out,nikaenda nikamlia vipesa vyake,bac c akataka tufanye na sex,me nkamdanganya nabreed ili kumkomesha tu,infact me kwetu arusha na ye kwao sijui ni songea,atanipatia wapi tena mie,kwanza mtu mwenyewe amesoma political science,mpaka aje apate ajira ni leo?''ikawa bahati nzuri ticha akawa kaingia class so story zao zkawa zmestopia hapo ingawa hata wkt ticha anapga pindi nliwaona bado wakiwa busy na story sema nilishndwa kuzinasa kutokana na kuconcentrate kumckilza mwalimu.sasa nkajiuliza,kumbe hizi couple tunazoziona hapa chuo ndo kikiisha fika kipindi ka hiki cha kumalza malza ndo mwisho wake unakua hvi wakuu?
 
Kweli, hiyo inaitwa danganya toto ili siku zipite.
 
Asilimia 99 zinavunjika,1 ndio zina endelea!!!!! Kumbe senetor ni ngwini??
 
Sasa unategemea nini wakati maisha bado yanaendelea na kila mtu baada yakutoka hapo anaenda kivyake kutafuta kazi?
Maisha ya chuo mambo hayo ni ya kawaida sana hivyo kwa mwenye kujihusisha na mahusiano ajue fika kuwa hayana guarantee siku yoyote yanaweza kuisha.
Na wewe kwa kudaka issue ni noma!
 
hahaha mambo ya kawaida...wee chuo kamatia ili kuservice body yako na aio kujidanganya kuwa eti tutaoana
 
Maskini huyo binti naye hajui mshkaji naye yupo kujiridhisha? sijui atajisikiaje atapomwambia iwe historia na mwanaume anamwambia, ilikuwa historia tangu siku nyingi!
Well, mara nyingi huwa ngoma droo kwa wote...
 
Senetor, mwanaume ukizidi kuzubaa lazima wanawake watakuchezea tu.

Ingekuwa mimi ndo yule dume, ningesema hakuna shida hata kwenye bleed mimi sinakupenda sioni shida kuzama ndani tu, kwani condom sizipo wasi wasi ni nini.
 
Mimi nilivunja ndoa yangu ya chuo kinamna. Nili-graduate mwaka mmoja kabla yake nikapata ajira kibaoo Dar. Lakini nikaamua kwenda kujifukia Namtumbo na kukomesha mawasiliano kabisaa. Ndiyo ikawa imetoka hivyo!
 
Maskini huyo binti naye hajui mshkaji naye yupo kujiridhisha? sijui atajisikiaje atapomwambia iwe historia na mwanaume anamwambia, ilikuwa historia tangu siku nyingi!
Well, mara nyingi huwa ngoma droo kwa wote...

daah sijui atajisekiaje, ila mapenz ya chuo ndo yalivyo kwa asilimia kubwa. vp mentor mbona nilikumic sana
 
daah sijui atajisekiaje, ila mapenz ya chuo ndo yalivyo kwa asilimia kubwa. vp mentor mbona nilikumic sana

Mara nyingi huwa hivyo...kimtazamo huwa inaonekana wanaume ndo 'huwatumia' zaidi wenzao while in its practicability, the campus gals ndo wanazidi kwa kuwa in a jus-for-fun relationships...ingawa kuna percentage kama hiyo nliyoizungumzia apo juu...!!!
My dia..ndo narudi rudi hivo...vp how av u bin!?? missed u MORE
 
hee kuna majina mazuri duniani. *Meritta*

Meritta You have great self-confidence and a charming personality which attracts many friends and admirers. Your innate sense of personal power and ability to lead are ideally suited to positions of authority. Being so versatile and seeing the big picture your ambitions are high and much is usually expected of you. With patience and tenacity you will certainly fulfill the great potential you have for success.
 
na wewe umeona mkuu eeeeeh! love the name aseeeeeh!
 
Mara nyingi huwa hivyo...kimtazamo huwa inaonekana wanaume ndo 'huwatumia' zaidi wenzao while in its practicability, the campus gals ndo wanazidi kwa kuwa in a jus-for-fun relationships...ingawa kuna percentage kama hiyo nliyoizungumzia apo juu...!!!
My dia..ndo narudi rudi hivo...vp how av u bin!?? missed u MORE
Ila wanachuo wote si wanaume wala wanawake wengi wao ni wazinguaj tu kimahusiano
 
Ila wanachuo wote si wanaume wala wanawake wengi wao ni wazinguaj tu kimahusiano

Nashukuru Mungu mie wangu tumekubaliana ni "No string attached" Good thing kila mara huwa haishi kutoa hii kauli, "Don't fall in Love man" But nahisi kwa mbali kama naanza kufall vile.., Ila hapa ndo mnaniogopesha..:scared:
 
Ndo hivyo....... hujawahi ona kitu ambacho huna time nacho ndo kinakubamba vilivyo!
 
Ni bond chache sana zinazo-survive baada ya kumaliza chuo,so mkuu SENETOR hata kama wewe pia umewekeza hapo jua mkimaliza tu chuo kila kitu kwishney!!
 
Back
Top Bottom