Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Heshima mbele wakuu.juzi nikiwa zangu kwenye moja ya lecture hall maarufu hapa chuon kwetu nikisubir pindi lianze,nlibahatika kunasa maongezi ya wadada flani hvi ambao walikua wamekaa jirani yangu,maongez yao yalikua hvi ''aku bibi,me narudi zangu kwa mpenzi wangu wa zaman,huyu{akataja jina la msela}ingawa ananipenda sana but kikwel i dont feel anythng on him,nilikua nae ili tu kufanya maisha ya hapa chuo yawe marahisi,si unaona hata vile ambavyo nimeanza kumpotezea taratibu,nataka mpaka ikifika mwezi wa 6 mwishon nimwambie kila kitu tulichofanya wkt wa uhusiano wetu kibaki kuwa historia,kwa kifupi he has to forget everythng abt me,eti jana kajikosha kunitoa out,nikaenda nikamlia vipesa vyake,bac c akataka tufanye na sex,me nkamdanganya nabreed ili kumkomesha tu,infact me kwetu arusha na ye kwao sijui ni songea,atanipatia wapi tena mie,kwanza mtu mwenyewe amesoma political science,mpaka aje apate ajira ni leo?''ikawa bahati nzuri ticha akawa kaingia class so story zao zkawa zmestopia hapo ingawa hata wkt ticha anapga pindi nliwaona bado wakiwa busy na story sema nilishndwa kuzinasa kutokana na kuconcentrate kumckilza mwalimu.sasa nkajiuliza,kumbe hizi couple tunazoziona hapa chuo ndo kikiisha fika kipindi ka hiki cha kumalza malza ndo mwisho wake unakua hvi wakuu?