Akubali kukatwa korodani baada ya kukutwa na hatia ya kujaribu kumbaka mtoto wa miaka 7

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585
Screenshot_20250823_102016_Firefox.jpg

Thomas Allen McCartney, mhalifu wa kingono huko Louisiana, Marekani, amekubali kupitia upasuaji wa castration (kukata korodani) kama sehemu ya makubaliano ya kukiri kosa.

Haya yamejiri baada ya kukutwa na hatia ya kujaribu kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka saba. Kando na upasuaji huo, atatumikia kifungo cha miaka 40 jela. Makubaliano haya yanajumuisha castration ya upasuaji na ile ya kemikali.

McCartney alikuwa tayari amekutwa na hatia ya makosa ya kingono hapo awali.

MyTake:
Hii adhabu ingefaa sana kuwa adopted hapa Tanzania kwani makosa ya watu wazima kubaka watoto ni ya kujirudia
 
Wangemkata na mshedede kabisa maana kama wanatoa pumbu, hiyo inayobakia ina kazi gani
 
View attachment 3450011

Thomas Allen McCartney, mhalifu wa kingono huko Louisiana, Marekani, amekubali kupitia upasuaji wa castration (kukata korodani) kama sehemu ya makubaliano ya kukiri kosa.

Haya yamejiri baada ya kukutwa na hatia ya kujaribu kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka saba. Kando na upasuaji huo, atatumikia kifungo cha miaka 40 jela. Makubaliano haya yanajumuisha castration ya upasuaji na ile ya kemikali.

McCartney alikuwa tayari amekutwa na hatia ya makosa ya kingono hapo awali.

MyTake:
Hii adhabu ingefaa sana kuwa adopted hapa Tanzania kwani makosa ya watu wazima kubaka watoto ni ya kujirudia
Kesi kama hzo Tanzania nyingi ni fake hazina uhalisia
 
Ngoja, asingekubali hiyo castration, angefungwa miaka mingapi kwani?
 
Back
Top Bottom