Kazi inayo kusimamisha kunaendelea isipokuwa watotoWangemkata na mshedede kabisa maana kama wanatoa pumbu, hiyo inayobakia ina kazi gani
Lakini ndo ukweli huo kwani kwenye mafundisho ya kobaz umri gani wa kuanza kuichapa?Angekua kobaz huyo makafiri yangekua yanashambulia kutokea winga zote uzi ungekua na page hata 5 hadi sasa
Akibalehe tu inachapwaLakini ndo ukweli huo kwani kwenye mafundisho ya kobaz umri gani wa kuanza kuichapa?
Kesi kama hzo Tanzania nyingi ni fake hazina uhalisiaView attachment 3450011
Thomas Allen McCartney, mhalifu wa kingono huko Louisiana, Marekani, amekubali kupitia upasuaji wa castration (kukata korodani) kama sehemu ya makubaliano ya kukiri kosa.
Haya yamejiri baada ya kukutwa na hatia ya kujaribu kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka saba. Kando na upasuaji huo, atatumikia kifungo cha miaka 40 jela. Makubaliano haya yanajumuisha castration ya upasuaji na ile ya kemikali.
McCartney alikuwa tayari amekutwa na hatia ya makosa ya kingono hapo awali.
MyTake:
Hii adhabu ingefaa sana kuwa adopted hapa Tanzania kwani makosa ya watu wazima kubaka watoto ni ya kujirudia
Atatolea wapi mkojo sasa wakakikata ile mjegeje?Wangeacha izo nanii wamkate nanii
Wengine wantumwa na waganga. Ramli chonganishiUwa sielewi wana obaka watoto uwa wanawaza nini
Kwani kobazi ndiyo ma-specialist wa ubakaji watoto?Angekua kobaz huyo makafiri yangekua yanashambulia kutokea winga zote uzi ungekua na page hata 5 hadi sasa
Mimi nikipishana na mtoto sehemu akiniamkia tu" shikamoo "uwa Kuna Hali Fulani ya upendo kwake inanijia.Wengine wantumwa na waganga. Ramli chonganishi
Kwa mujibu wa makafiriKwani kobazi ndiyo ma-specialist wa ubakaji watoto?
Utakatwa korodani na wewe be carefulMimi nikipishana na mtoto sehemu akiniamkia tu" shikamoo "uwa Kuna Hali Fulani ya upendo kwake inanijia.
Hawezi kusimamisha baada ya castration.Kazi inayo kusimamisha kunaendelea isipokuwa watoto
Ni mbinu ya kuzuia kizazi cha nyoka kuwepo duniani
Kutoa korodani sio castrationHawezi kusimamisha baada ya castration.
Ngoja, asingekubali hiyo castration, angefungwa miaka mingapi kwani?View attachment 3450011