Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hatari tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya mjini jirani na Loleza? Mimi ndiye niliyeigiza kama Yuda, enzi hizo Mchungaji akiitwa Hitson Mwamlima.
Ousofia in LondonView attachment 1741653 hawa watoto wa dot.com hawakukuona miaka ile ukicheza filamu za kiNigeria tukitumia mikanda ya VHS,
Ya kuunga mkono juhudiNaona uhuyu yuda alipokea maono enz hizo
Kama una hela kibindonikwahiyo tunaomboleza hadì j4
YESU kafufuka, Yuda ana chinaBusara imeniongoza kutoendelea na majibizano
Iyunga? kuna miaka hiyo tulikua tunatwanga sana pilau pale,kila baada ya misa ya pasaka alafu kuna wagagagigikoko wanasema wanyaki hawawezi kupika.Umenikumbusha nikiwa bado dogolasi early 1990's lilifanyika igizo la Pasaka moja matata Kanisani nikiwa na Bi mdash, nilikuwa naogopa hata baada ya kurudi home,hasa baada ya Yuda kujirestishainipisi.........ilifanyika ktk Kanisa moja la Moravian pale Mbeya
Huna lolote, mihemuko ya imani imekujaa.Busara imeniongoza kutoendelea na majibizano
Ungeweka na namba ya simu kurahisisha uteuziHuna lolote, mihemuko ya imani imekujaa.