Akutwa amejinyonga baada ya dili lake kutiki

Akutwa amejinyonga baada ya dili lake kutiki

Mbeya mjini jirani na Loleza? Mimi ndiye niliyeigiza kama Yuda, enzi hizo Mchungaji akiitwa Hitson Mwamlima.
1617391997060.png
hawa watoto wa dot.com hawakukuona miaka ile ukicheza filamu za kiNigeria tukitumia mikanda ya VHS,
 
Umenikumbusha nikiwa bado dogolasi early 1990's lilifanyika igizo la Pasaka moja matata Kanisani nikiwa na Bi mdash, nilikuwa naogopa hata baada ya kurudi home,hasa baada ya Yuda kujirestishainipisi.........ilifanyika ktk Kanisa moja la Moravian pale Mbeya
Iyunga? kuna miaka hiyo tulikua tunatwanga sana pilau pale,kila baada ya misa ya pasaka alafu kuna wagagagigikoko wanasema wanyaki hawawezi kupika.
Lile pilau mpk leo nalikumbuka
 
Back
Top Bottom