Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Mtu kujisaidia ktk NDOO haja kubwa na kuihifadhi kwenye NDOO na kuishi nayo chumbani mwako kwa kipindi cha miezi sita ni ajabu.
Inawezekana huyu mtu Pua zake na macho yake havifanyi kazi ipasavyo kama watu wengine?
Naomba wataalamu wa afya za akili za binadamu mnisaidie kuelewa Jambo hili.
Ebu sikikizeni hiyo clip muanzie hapo kujadili hili Jambo wandugu.