Hii habari ililetwa huku mwaka jana mimi nimefanya kumsanua kwamba ni ya kitambo😂😂😂Uongo bhana,hii ni habari ya mwaka Jana....
Labda tuseme hongera kwake kwa kutimiza mwako mmoja wa kukutwa na kinyesi kwa bedroom 🥴

Ukorofi 🙌Hii habari ililetwa huku mwaka jana mimi nimefanya kumsanua kwamba ni ya kitambo
Katika hili naamini wataalamu wenyewe wataona nyotanyota tu 😄Itakuwa siyo hii nakumbuka miaka ya 2017 kama siyo Temeke ni Makumbusho kuna bwana mwengine nae alikutwa na hali hii.
Wataalamu watusaidie labda ni aina ya ugonjwa wa akili mtu kutaka kulala usingizi huku akisikia harufu ya kinyesi na mikojo
Ngoja usije ukafuta hii comment 😄Naomba nikiri na Mimi huwa naishi na mikojo kwenye chupa za maji ila haivuki siku 3
To yeye
Kuna watu kukaa na uchafu sio tatizo kwao.Mbona Idi Amini
Sasa hii tabia ni ugonjwa
Hivi ni ugonjwa au labda ni Imani za kishirikina?
Mmawia alikua jela nini😂😂😂Uongo bhana,hii ni habari ya mwaka Jana....
Labda tuseme hongera kwake kwa kutimiza mwako mmoja wa kukutwa na kinyesi kwa bedroom 🥴
😂😂Yaan ndiyo tatizo la kupata habari yoyote na kukimbilia kupost jf ukidhani wote ndiyo tutakuwa tunaiona kwa mara kwa kwanzaMmawia alikua jela nini