Kipindi hicho ndevu zilikuwa hazinyolewi ovyo pia sura za miaka hiyo zilikuwa ngumu ngumu kama idi aminiHii habari niliiona mwaka 1978 kipindi naeleke kagera kupigana na idiamini dada... Huyu kijana atakua mzee kikongwe kwelikweli ikiwa atekua hai
Kweli kabisa hata camera zilikua hazioneshi rangi tofauti na nyeusi na nyeupe 😊Kipindi hicho ndevu zilikuwa hazinyolewi ovyo pia sura za miaka hiyo zilikuwa ngumu ngumu kama idi amini
😂😂😂Uongo bhana,hii ni habari ya mwaka Jana....Hii habari niliiona mwaka 1978 kipindi naeleke kagera kupigana na idiamini dada... Huyu kijana atakua mzee kikongwe kwelikweli ikiwa atekua hai
Mimi miaka ya elfu 2 kumi na huko niliwahi ku share nyumba na familia moja ya mke, mume na mtoto mmoja mdogo. Mke alikuwa na tabia ya kukojoa usiku anaweka kwenye kisado asubuhi anamwaga na Kuflash na maji kiduchu. Siku akasafiri akabaki mume, baada ya wiki kama 2 tukaanza kusikia harufu hatuielewi. Naulizana na wenzangu. Yaani kinyesi kabisa. Ila ukideki korido unasikia kabisa inatokea huko kwake. Ile hali ilizidi mpaka majirani wakawa wanasikia harufu wakiwa nje. Ikabidi kumuita mwenye nyumba aongee naye. Hakumpata ila ghafla tu siku tumeamka, kila kitu kimechukuliwa jamaa kahama. Kilichokuwa kinashangaza zaidi ni watu wanaojiweza. Walikuwa na TV ukuta mzima, gari ya crown nzuri sana, mtaa mzima wanatikisa wao. Ila huo uchafu sasa...Mtu kujisaidia ktk NDOO haja kubwa na kuihifadhi kwenye NDOO na kuishi nayo chumbani mwako kwa kipindi cha miezi sita ni ajabu.
Inawezekana huyu mtu Pua zake na macho yake havifanyi kazi ipasavyo kama watu wengine?
Naomba wataalamu wa afya za akili za binadamu mnisaidie kuelewa Jambo hili.
Ebu sikikizeni hiyo clip muanzie hapo kujadili hili Jambo wandugu.
Itakuwa siyo hii nakumbuka miaka ya 2017 kama siyo Temeke ni Makumbusho kuna bwana mwengine nae alikutwa na hali hii.Hii habari niliiona mwaka 1978 kipindi naeleke kagera kupigana na idiamini dada... Huyu kijana atakua mzee kikongwe kwelikweli ikiwa atekua hai
Mbona Idi AminiKipindi hicho ndevu zilikuwa hazinyolewi ovyo pia sura za miaka hiyo zilikuwa ngumu ngumu kama idi amini
Sasa hii tabia ni ugonjwaMimi miaka ya elfu 2 kumi na huko niliwahi ku share nyumba na familia moja ya mke, mume na mtoto mmoja mdogo. Mke alikuwa na tabia ya kukojoa usiku anaweka kwenye kisado asubuhi anamwaga na Kuflash na maji kiduchu. Siku akasafiri akabaki mume, baada ya wiki kama 2 tukaanza kusikia harufu hatuielewi. Naulizana na wenzangu. Yaani kinyesi kabisa. Ila ukideki korido unasikia kabisa inatokea huko kwake. Ile hali ilizidi mpaka majirani wakawa wanasikia harufu wakiwa nje. Ikabidi kumuita mwenye nyumba aongee naye. Hakumpata ila ghafla tu siku tumeamka, kila kitu kimechukuliwa jamaa kahama. Kilichokuwa kinashangaza zaidi ni watu wanaojiweza. Walikuwa na TV ukuta mzima, gari ya crown nzuri sana, mtaa mzima wanatikisa wao. Ila huo uchafu sasa...
Hivi ni ugonjwa au labda ni Imani za kishirikina?Mimi miaka ya elfu 2 kumi na huko niliwahi ku share nyumba na familia moja ya mke, mume na mtoto mmoja mdogo. Mke alikuwa na tabia ya kukojoa usiku anaweka kwenye kisado asubuhi anamwaga na Kuflash na maji kiduchu. Siku akasafiri akabaki mume, baada ya wiki kama 2 tukaanza kusikia harufu hatuielewi. Naulizana na wenzangu. Yaani kinyesi kabisa. Ila ukideki korido unasikia kabisa inatokea huko kwake. Ile hali ilizidi mpaka majirani wakawa wanasikia harufu wakiwa nje. Ikabidi kumuita mwenye nyumba aongee naye. Hakumpata ila ghafla tu siku tumeamka, kila kitu kimechukuliwa jamaa kahama. Kilichokuwa kinashangaza zaidi ni watu wanaojiweza. Walikuwa na TV ukuta mzima, gari ya crown nzuri sana, mtaa mzima wanatikisa wao. Ila huo uchafu sasa...
Kamanda huyoMtu kujisaidia ktk NDOO haja kubwa na kuihifadhi kwenye NDOO na kuishi nayo chumbani mwako kwa kipindi cha miezi sita ni ajabu.
Inawezekana huyu mtu Pua zake na macho yake havifanyi kazi ipasavyo kama watu wengine?
Naomba wataalamu wa afya za akili za binadamu mnisaidie kuelewa Jambo hili.
Ebu sikikizeni hiyo clip muanzie hapo kujadili hili Jambo wandugu.
Mbona Idi Amini
Sasa hii tabia ni ugonjwa
Hivi ni ugonjwa au labda ni Imani za kishirikina?
Tulihisi ni ushirikina kwa sababu kinyesi huwezi kukaa nacho ndani hata kama ni chako. Yaani kinatesa sasa fikiria uchafu aliokuwa ameacha. Kingine kilitufanya tuwaze ni ushirikina, ni mali alizonazo ilhali sio yeye wala mkewe walikuwa wanafanya kazi. Yaani mume alikuwa anatoka jioni au usiku kisha anarudi alfajiri sana. Anyways, inawezekana ilikuwa kazi halali ila ndio akili zetu ziliishia hapo kwa kipindi hiko 🤣Mbona Idi Amini
Sasa hii tabia ni ugonjwa
Hivi ni ugonjwa au labda ni Imani za kishirikina?
Ni uvivu tu wa Kwenda chooni mida ya usiku. Unakuta mtu anakaa chumba hapa... halafu choo kiko mita 15 au zaodi. So baadhi huona uvivu kwenda. Wanaamua kuangalia alternativeMtu kujisaidia ktk NDOO haja kubwa na kuihifadhi kwenye NDOO na kuishi nayo chumbani mwako kwa kipindi cha miezi sita ni ajabu.
Inawezekana huyu mtu Pua zake na macho yake havifanyi kazi ipasavyo kama watu wengine?
Naomba wataalamu wa afya za akili za binadamu mnisaidie kuelewa Jambo hili.
Ebu sikikizeni hiyo clip muanzie hapo kujadili hili Jambo wandugu.