Akutwa na ndoo za kinyesi na mikojo ndani. hivi hili ni tatizo ugonjwa wa akili?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Uongo bhana,hii ni habari ya mwaka Jana....
Labda tuseme hongera kwake kwa kutimiza mwako mmoja wa kukutwa na kinyesi kwa bedroom ๐Ÿฅด
Hii habari ililetwa huku mwaka jana mimi nimefanya kumsanua kwamba ni ya kitambo
 
Itakuwa siyo hii nakumbuka miaka ya 2017 kama siyo Temeke ni Makumbusho kuna bwana mwengine nae alikutwa na hali hii.

Wataalamu watusaidie labda ni aina ya ugonjwa wa akili mtu kutaka kulala usingizi huku akisikia harufu ya kinyesi na mikojo
Katika hili naamini wataalamu wenyewe wataona nyotanyota tu ๐Ÿ˜„
 
Mwaka wa uchaguzi huu, waganga wanajipigia mihela tu...๐Ÿคฃ
 
Kwenye kinyesi cha binadamu Kuna dhahabu,ni ma genius wachChe tunajua hii siri ya sayansi kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ