Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Al-Ahli Tripoli wamegoma mizigo yao kuingia kwenye gari kubwa na mizigo yote wamepakia kwenye gari ndogo aina ya Kenta wameweka vifaa vyote vya kufanyia mazoezi na vyakula vyao wametoka navyo nchini Libya.
Hivi ndivyo klabu ya Al-Ahli Tripoli ilivyowasili Tanzania kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya Simba Sport Club Kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Tarehe 22 Septemba. Mchezo wa Kwanza ulichezwa Libya ukatamatika kwa Sure ya (0-0).
Je Mmyama ataweza kufua dafu mbele ya Wababe hawa wa Libya?
Video: Manara TV
Pia, Soma: Wapinzani wa Simba Washtuka, Washuka na Bordguards Kibao Airport
Video: Manara TV
Pia, Soma: Wapinzani wa Simba Washtuka, Washuka na Bordguards Kibao Airport