Al-Ahli Tripoli wamegoma mizigo yao kuingia kwenye gari kubwa na mizigo yote wamepakia kwenye gari ndogo aina ya Kenta wameweka vifaa vyote vya kufanyia mazoezi na vyakula vyao wametoka navyo nchini Libya.
Your browser is not able to display this video.
Hivi ndivyo klabu ya Al-Ahli Tripoli ilivyowasili Tanzania kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya Simba Sport Club Kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Tarehe 22 Septemba. Mchezo wa Kwanza ulichezwa Libya ukatamatika kwa Sure ya (0-0).

Je Mmyama ataweza kufua dafu mbele ya Wababe hawa wa Libya?
Al-Ahli Tripoli wamegoma mizigo yao kuingia kwenye gari kubwa na mizigo yote wamepakia kwenye gari ndogo aina ya Kenta wameweka vifaa vyote vya kufanyia mazoezi na vyakula vyao wametoka navyo nchini Libya.
Hivi ndivyo klabu ya Al-Ahli Tripoli ilivyowasili Tanzania kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya Simba Sport Club Kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Tarehe 22 Septemba. Mchezo wa Kwanza ulichezwa Libya ukatamatika kwa Sure ya (0-0).
Ao jamaa wakati Simba anatolewa na Orlando pirates wao wakicheza hatua ya nusu /final kwaiyo wanauzoefu na mazingira ya fitina za soka la Ki Africa, wafungwe kwa kuzidiwa uwanjani ila wanajua namna mambo yanavyo kua ugenini.

Walijichanganya sana kumfanyia fujo Kolo Muhan. Ngoja awaoneshe shoo hawataamini. Kolo aliwasha moto Afrika Kusini Live kabisa dunia nzima inaona. Na miaka hiyo walifanya vurugu kwa kiongozi wao wakishinikiza aondoke hadi wakayarunda mavi nyumbani kwake. Yule kiongozi akasema hakuwahi kujua kama wanachama wa Simba wanakunya mavi makubwa vile.