Al-Ahli Tripoli wagomea Gari kubwa, mizigo yote wamepakia kwenye Kenta

Hii mechi haijaisha
Huenda Simba akapigwa nyingi sana kwa Mkapa
Huwa nnachukizwa sana na timu zinazotumia mbinu chafu za nje ya uwanja kudhoofisha wapinzani, hata ikitokea timu yangu ndio imefanya hivi mara nyingi lazima numbee mabaya kwenye mechi inayofuta.

Hao Tripol walicheza mpira wa kunifurahisha sana, na nilitamani wapate matokeo siku ile, ila kwa kile kilichofanywa na mashabiki wao baada ya mechi sitaki kabisa kuwaona wakiendelea na mashindano...!!
 
Kipigo kipo pale pale!
 
Mashabiki wao walifanya mambo ya hovyo sana
Hawana ustaraabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…