Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

KAGERE anazurura mno.

Anaonekana kukosa utulivu kabisa
 
Kona ya kwanza wanapata al ahyl
 
Aaah hii ofside hii ilikuwa almanusra tummanue farao
 
Simba tumemkangia mungu mayai
 
Simba nguvu moja sisi kama kumaliza tushamaliza kazi
 
Tupeni link tushuhudie Simba anavyomenywa wengine tupo mbali na tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…