Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Jamani... juu yeyote hali ni mbaya..japo Simba leo yupo vizuri!!
KHAMSA!! Leo aishi Leo...
 
Fanya mashambulizi ya kushtukiza kama kunguni, taa ikiwaka tuna nyuti uvunguni
 
Pengine Kocha kampumzisha Lwanga kwakuwa ana yellow cards 2 kuogopa asipate ya tatu akakosa mchezo wa Robo fainali ya kwanza. Hatuna haja ya kupanic after all hapa tunaweka heshima tu.
Yeah
 
Eh bwana ile attack aliyoifanya Kagere impact yake ni kubwa japo haijaleta goli
 
Wadwanzi wametangulia goli moja
 
Back
Top Bottom