Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Simba wanaumiza Waarabu

1617997479326.png
 
Simba mechi za saa jua kali zinamsaidia sana kwenye mechi na waarabu.

Esperence, wydad, al ahly, zamalek ukimchezesha usiku hata kama taifa anakukimbiza kwa spidi sana.. waarabu spidi ndio strength yao.. na waafrica weusi jua kali kwenye mechi ndio strength
Umenikumbusha chama langu la kitaa Iringa 90s huko. Mazoezi yanaanza saa kumi na moja na kwa Iringa kaubaridi tayari hapo. Sasa siku za mechi inaanza saa kumi na nusu jua Kali, ile half ya kwanza tunakuwa hoi kwa jua, hapo utakuta tushapigwa mbili au tatu. Baba second half ile saa kumi na moja kajua kamepoooa tunaanza chomoa moja hadi jingine mpaka tunashinda. Kwa hiyo hali ya hewa ni factor kubwa Sana kwwnye ushindi wa timu na maarab Kasi ni jadi yao sisi wanubi aka Mandingo tunacheza slow sana.
 
- Mkude na Nyoni miguu inewasaliti, ndio udhaifu wetu mkubwa pale katikati, wote wana intensity ndogo sana

- Wachezaji wetu wengi(hasa wazawa) wameshindwa kabisa kudeal na pressing ya ahly

- Wametuzidi quality na inaonekana dhahiri, hivi vitu viko nje ya uwezo wetu.
 
nadhan leo tunaona umuhimu wa mugali.. huyu kagere anazurura sana.. mugali anakaa hapohapo golin kuwatia hofu mabeki wa kati
Anakaa anatulia golini lakini nafasi tano afungi hata goli moja.
Akuna haja ya kupanic.second half goli litarudi na lingine la ziada litapatikana.
 
Simba mechi za saa jua kali zinamsaidia sana kwenye mechi na waarabu.

Esperence, wydad, al ahly, zamalek ukimchezesha usiku hata kama taifa anakukimbiza kwa spidi sana.. waarabu spidi ndio strength yao.. na waafrica weusi jua kali kwenye mechi ndio strength
Kwa hiyo wao ni ma vampire mchana yanaungua?

Kwanza usiku mbu wengi zinawakarahisha wachezaji wetu mpaka wanatoka mchezoni

Kwanza kucheza cheza usiku tabia hizo niza wanga na yale mapaka shume yenye milio ya kuudhi

Hata biblia imeandika "Ole wao wale waugeuzao usiku kuwa mchana"
 
Tunamhitaji Mugalu na Mzamiru haraka alafu Bwalya leo hayuko vizuri
 
Back
Top Bottom