Ila nilichokiona simba mpira wa kasi bado hawauwezi
Hizo ndiyo habari nzuri kuzisikiaSimba alshaliwa dude
[emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa leo nimeamua niangalie hata profile yako tu.Bado dk chache nchi iingie kwenye aibu kubwa
Umenikumbusha chama langu la kitaa Iringa 90s huko. Mazoezi yanaanza saa kumi na moja na kwa Iringa kaubaridi tayari hapo. Sasa siku za mechi inaanza saa kumi na nusu jua Kali, ile half ya kwanza tunakuwa hoi kwa jua, hapo utakuta tushapigwa mbili au tatu. Baba second half ile saa kumi na moja kajua kamepoooa tunaanza chomoa moja hadi jingine mpaka tunashinda. Kwa hiyo hali ya hewa ni factor kubwa Sana kwwnye ushindi wa timu na maarab Kasi ni jadi yao sisi wanubi aka Mandingo tunacheza slow sana.Simba mechi za saa jua kali zinamsaidia sana kwenye mechi na waarabu.
Esperence, wydad, al ahly, zamalek ukimchezesha usiku hata kama taifa anakukimbiza kwa spidi sana.. waarabu spidi ndio strength yao.. na waafrica weusi jua kali kwenye mechi ndio strength
Vumilia kichapoPengo la Lwanga lipo wazi.. Nyoni na Mkude bure kabisa
Haya mambo ilitakiwa myasikie mechi zilizopita, kidogo mngenenepa, ila kwa bahati mbaya yanakuja sasa kipindi ambacho hayana maana tena katika kampeni za LIGI YA MABINGWA AFRIKA.Hizo ndiyo habari nzuri kuzisikia
Anakaa anatulia golini lakini nafasi tano afungi hata goli moja.nadhan leo tunaona umuhimu wa mugali.. huyu kagere anazurura sana.. mugali anakaa hapohapo golin kuwatia hofu mabeki wa kati
Kwa hiyo wao ni ma vampire mchana yanaungua?Simba mechi za saa jua kali zinamsaidia sana kwenye mechi na waarabu.
Esperence, wydad, al ahly, zamalek ukimchezesha usiku hata kama taifa anakukimbiza kwa spidi sana.. waarabu spidi ndio strength yao.. na waafrica weusi jua kali kwenye mechi ndio strength