Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Sub ya Bwalya kama imetudhoofisha, hatujui cha kufanya tukiwa na mpira
 
Kuelekea robo fainali, kuna umuhimu wa kuhakikisha anakuwa na super sub wa Kapombe na Shabalala.
 
Kumbuka Simba nao pia hawajazoea kucheza usiju kwenye bariki kali huko uarabuni au Hilo hulioni ila unajali wao tu kucheza kwenye jua kali.

Mamelodi, enyimba, mazembe wanawafungaga sana waarabu nyingi mechi za mchana. Ila wakijaribu kuweka mechi usiku tu hata zikiwa za nyumbani kwao.. waarabu wanapata matokeo away... waarabu wakifika stage za mtoano mpaka fainali, kuwatoa ngumu sababu mechi nyingi caf wanaweka ratiba ya usiku
 
Back
Top Bottom