MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Mpira unatoka nje, utakuwa ni Goal Kick 🤣 🤣 🤣Hali imekiwa mbaya wapi?
Mpira unauona au unasimuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira unatoka nje, utakuwa ni Goal Kick 🤣 🤣 🤣Hali imekiwa mbaya wapi?
Mpira unauona au unasimuliwa
Cheki freekick ya goal hiiMpira unatoka nje, utakuwa ni Goal Kick 🤣 🤣 🤣
Kahata hapeleki mipira mbele;Sub ya Bwalya kama imetudhoofisha, hatujui cha kufanya tukiwa na mpira
Maji yamezidi unga leo 🤣 🤣 🤣 🤣!Cheki freekick ya goal hii
Chama ana ana aina fulani ya uchezaji kama ya Hazard, yaani wakati team ipo kwenye move golini, yeye anatuliza anaanza kutembea nao mpaka wapinzani wanajaa golini.Chama bora tumbadilishe kwa jogoo tu
Chama hawezi kufanya kila kitu peke yakeKahata hapeleki mipira mbele;
Chama nae leo hamna kitu
Aingie mugaluChama hawezi kufanya kila kitu peke yake
Kigoli chenyewe hata wao wanashangaa imekuwaje kuwaje maana hawakutegemeaMaji yamezidi unga leo 🤣 🤣 🤣 🤣!
YepAingie mugalu
Style ya LUIS FIGO hiyoChama ana ana aina fulani ya uchezaji kama ya Hazard, yaani wakati team ipo kwenye move golini, yeye anatuliza anaanza kutembea nao mpaka wapinzani wanajaa golini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka Simba nao pia hawajazoea kucheza usiju kwenye bariki kali huko uarabuni au Hilo hulioni ila unajali wao tu kucheza kwenye jua kali.