Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Simba Sc njia nyeupe kusonga mbele.

Tushindwe wenyewe kupata point 3 kwenye mechi 3 tulizobakiza ikiwemo mbili za nyumbani.

Huu ni mwaka wetu πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
Kwa uhakika zaidi ni point 4
 
Ahly ndio alitakiwa ashinde kwani kule DRC vita atamfunga. Ndio ingekuwa nafasi kwa simba kupita kama atamfunga el merreikh mechi ya marudiano. Sasa hivi hali imekuwa ngumu kwa simba kwani anahitaji points nne ili kufuzu.
 
Simba kutoa sare leo amefanya kosa kubwa sana.
 
Hizo ni wishes ila uwanjani mambo yanaweza badilika
 
Kiaz wewe. Football huijui. Think twice
 
Simba Sc njia nyeupe kusonga mbele.

Tushindwe wenyewe kupata point 3 kwenye mechi 3 tulizobakiza ikiwemo mbili za nyumbani.

Huu ni mwaka wetu πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
Hizi hesabu za wapi umepiga? Simba akifikisha point 10 bado kazi haijaisha sababu kimahesabu bado ahly na vita wana uwezo wa kufikiaha point 10 au zaidi
 
Umeongea kiutopolo zaidi. Simba hana nafasi kivipi?
 
Ila naamini hata game inayofuata wata sare then Simba akishinda msimamo inakuwa

Simba 10
Vita 5
Ahly 5
Mereikh 1

[emoji3][emoji3][emoji3] ndoto na itimie
Alafu mechi zitazofuata vita na ahly wakishinda mechi zao simba inatoka...
 
06 March 2021

Mashindano ya CAF Champions League 2020/ 2021 Msimamo ngazi ya makundi, kundi "A"

lenye timu 4 yaani Al Ahly ya Egypt, Al-Merrikh Sporting Club ya Omdurman nchini Sudan, AS Vita Club ya Kinshasa DR Congo na Simba SC toka Tanzania.

GROUP A LIVE TABLE
PosTeamPWDL+/-PTS
1 SIM3210+27
2 VIT3111+24
3 AHL3111+24
4 MER3012-61
CHAMPIONS LEAGUE CAF 2020/2021
 
Na ndio itafanya mechi ya Simba vs As vita kuwa mechi ya kifo kwa As vita watakuja kutafuta matokeo tu.
Na simba watakua na kauli mbiu yao ya kwa mkapa hatoki mtu. Hata msimu ule vita alikuja anahitaji matokeo taifa akashindwa.
 
Simba kutoa sare leo amefanya kosa kubwa sana.
Kwa hiyo angefungwa? Tatizo Unaangalia mlinganyo upande mmoja tu kwamba wapinzani wa simba watapata matokeo chanya ila sio simba...
Wewe ni yanga bila shaka. Simba wana kwa mkapa hatoki mtu, point sita hizo kibindoni. Na sasa wanaongoza grp baada ya mechi tatu, grp ambalo wengi waliamini simba isingekuwapo kimahesabu mpaka sasa.
 
Wewe ni kiazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…