Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kwa uhakika zaidi ni point 4Simba Sc njia nyeupe kusonga mbele.
Tushindwe wenyewe kupata point 3 kwenye mechi 3 tulizobakiza ikiwemo mbili za nyumbani.
Huu ni mwaka wetu 💪💪💪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uhakika zaidi ni point 4Simba Sc njia nyeupe kusonga mbele.
Tushindwe wenyewe kupata point 3 kwenye mechi 3 tulizobakiza ikiwemo mbili za nyumbani.
Huu ni mwaka wetu 💪💪💪
Kwan simba hajacheza na As vita? Tena kwao DRCAngalia Moto Wa As Vita Nasubiri Kuona Utakavyo-uzima.
Simba kutoa sare leo amefanya kosa kubwa sana.Ahly ndio alitakiwa ashinde kwani kule DRC vita atamfunga. Ndio ingekuwa nafasi kwa simba kupita kama atamfunga el merreikh mechi ya marudiano. Sasa hivi hali imekuwa ngumu kwa simba kwani anahitaji points nne ili kufuzu.
Hizo ni wishes ila uwanjani mambo yanaweza badilikaAhly ndio alitakiwa ashinde kwani kule DRC vita atamfunga. Ndio ingekuwa nafasi kwa simba kupita kama atamfunga el merreikh mechi ya marudiano. Sasa hivi hali imekuwa ngumu kwa simba kwani anahitaji points nne ili kufuzu.
Umajua maana ya "SULUHU?"Hao vita wasijinasibu kuifunga al ahl bora wapaki basi lao vizuri wapate hata suluhu
Hapa kuna sare
Angefungwa ndiyo ingekuwa sawa eti ?Simba kutoa sare leo amefanya kosa kubwa sana.
Kiaz wewe. Football huijui. Think twiceLabda hujielewi yaani hii sare imefanya kundi kuwa gumu na simba hana nafasi hapo ,Vita alivyocheza leo ndivyo atacheza akija Dar
Kwa matokeo hayo simba lazima watafute ushindi kwa udi na uvumba angalau mechi 1 na sare 1 tofauti na hapo mnaweza kuishia makundi mkashangaa
Hizi hesabu za wapi umepiga? Simba akifikisha point 10 bado kazi haijaisha sababu kimahesabu bado ahly na vita wana uwezo wa kufikiaha point 10 au zaidiSimba Sc njia nyeupe kusonga mbele.
Tushindwe wenyewe kupata point 3 kwenye mechi 3 tulizobakiza ikiwemo mbili za nyumbani.
Huu ni mwaka wetu 💪💪💪
Sare hii ndio nafuuHii sare sijaipenda kabisa ki mahesabu ingetakiwa mmoja afungwe na sio droo hii.
Umeongea kiutopolo zaidi. Simba hana nafasi kivipi?Labda hujielewi yaani hii sare imefanya kundi kuwa gumu na simba hana nafasi hapo ,Vita alivyocheza leo ndivyo atacheza akija Dar
Kwa matokeo hayo simba lazima watafute ushindi kwa udi na uvumba angalau mechi 1 na sare 1 tofauti na hapo mnaweza kuishia makundi mkashangaa
Congo hawadroo, mmoja anakufa.Hii sare sijaipenda kabisa ki mahesabu ingetakiwa mmoja afungwe na sio droo hii.
Alafu mechi zitazofuata vita na ahly wakishinda mechi zao simba inatoka...Ila naamini hata game inayofuata wata sare then Simba akishinda msimamo inakuwa
Simba 10
Vita 5
Ahly 5
Mereikh 1
[emoji3][emoji3][emoji3] ndoto na itimie
Na ndio itafanya mechi ya Simba vs As vita kuwa mechi ya kifo kwa As vita watakuja kutafuta matokeo tu.Congo hawadroo, mmoja anakufa.
Na simba watakua na kauli mbiu yao ya kwa mkapa hatoki mtu. Hata msimu ule vita alikuja anahitaji matokeo taifa akashindwa.Na ndio itafanya mechi ya Simba vs As vita kuwa mechi ya kifo kwa As vita watakuja kutafuta matokeo tu.
Kwa hiyo angefungwa? Tatizo Unaangalia mlinganyo upande mmoja tu kwamba wapinzani wa simba watapata matokeo chanya ila sio simba...Simba kutoa sare leo amefanya kosa kubwa sana.
Kwahivyo Simba hana mechi ya kushinda isipokuwa Vita na Al Ahly pekee.Alafu mechi zitazofuata vita na ahly wakishinda mechi zao simba inatoka...
Wewe ni kiazi.Labda hujielewi yaani hii sare imefanya kundi kuwa gumu na simba hana nafasi hapo ,Vita alivyocheza leo ndivyo atacheza akija Dar
Kwa matokeo hayo simba lazima watafute ushindi kwa udi na uvumba angalau mechi 1 na sare 1 tofauti na hapo mnaweza kuishia makundi mkashangaa