Water Bwalya hajamuona?..Yeye na kipa kapaisha.Mohamed Sherrif wa Al Ahly ! Yaaani Uso kwa uso, Yeye na kipa wa AS Vita lakini anakosa fursa ya waaazi kabisa kwa guu lake la kulia!
mpira umekwisha
Dakika ya 90' + 5'
Al Ahly SC 2 - 2 AS Vita Club
We nae yaani aongoze kundi kwa point 4 wakati mnyama ana point 7.Kweli mkuu maana huyu vita akipata sare ataongoza ligi kwa chance ya magoli
Huyo jamaa sijui anavuta bangi ya wapiWewe ni kiazi.
Simba ya safari hii sio unayoidhania kuwa ya kubahatisha..... mechi zilizobakia tunafunga zoteLabda hujielewi yaani hii sare imefanya kundi kuwa gumu na simba hana nafasi hapo ,Vita alivyocheza leo ndivyo atacheza akija Dar
Kwa matokeo hayo simba lazima watafute ushindi kwa udi na uvumba angalau mechi 1 na sare 1 tofauti na hapo mnaweza kuishia makundi mkashangaa
Hawa utopolo akili zao siku zote ni mwiko. Ngoja polisi leo watoneshe kidondaKwahivyo Simba hana mechi ya kushinda isipokuwa Vita na Al Ahly pekee.
Wivu ni kidonda Aisee...!
Ipo hivi..... vita anakufa kwa mkapa. El merakh anakufa pia. Tunaenda ku droo kwa nwarabu shika maneno yangua haya utarudi kunambia.......Simba anahitaji points 4 tu ili aweze kufuzu robo fainali.
tar 16 march Simba anakutana na Elmerekh anatakiwa kushinda na mechi inayofuata anakutana na As vita anatakiwa kupata sare au kushinda, mechi ya mwisho anakutana na Al ahyl ambayo itakuwa ugenini.
hapa Al ahyl atacheza na Simba kufa na kupona wakigombania waweze kufuzu maana ushindani utakuwa sasa yeye na na As vita wakitafuta kufuzu.
hata hivyo watajuana wenyewe "vita vya panzi furaha kwa kunguru"
Sare siyo matokeo mazuri kwetuDaah hii mechi bora iishe kwa sare maana huyu vita namuona kabisa pale juu
Kila mtu ashinde mechi zakeSare siyo matokeo mazuri kwetu
Hizo pointi kumi umezibandika tu kirahisi rahisi namna hiyo!!!??Bora hii mechi iishe kwa sare iwe faida kwetu, wakiwa wanatafuta point 7 sisi tuwe na points 10💪💪
Yan hii sale Simba itamcost Sana sababu huyo Al merekh atafungwa home and away na wenzetu..Simba kutoa sare leo amefanya kosa kubwa sana.
Mechi ipi ya kushinda Simba....!!!!Kwahivyo Simba hana mechi ya kushinda isipokuwa Vita na Al Ahly pekee.
Wivu ni kidonda Aisee...!
Anasumbuliwa na ugonjwa wa chuki na chuki ikizidi sana inapunguza uwezo wa akili kufanya kazi......Wewe ni kiazi.
Ndio maana Simba alitakiwa ashinde leo, sio kutegemea kuwa tutamfunga Msudani TaifaNa ndio itafanya mechi ya Simba vs As vita kuwa mechi ya kifo kwa As vita watakuja kutafuta matokeo tu.
Mechi ipi ya kushinda..?Mechi ipi ya kushinda Simba....!!!!
nafasi yao ni ile wamepoteza jana....
Simba anakuja kufungwa uwanja wa taifa goli tatu kwa moja.....na Vita
Pia anakwenda kupigwa na Alhy kwao..
Ell Mareikk wanakuja kulazimisha droo hapa Tz tunza hizi kumbukumbu......
Katoe photocopy uweke na lamination....
Haituhusu yeye afungwe tu..Yan hii sale Simba itamcost Sana sababu huyo Al merekh atafungwa home and away na wenzetu..
Afe El merick na Vita tu inatosha.Ipo hivi..... vita anakufa kwa mkapa. El merakh anakufa pia. Tunaenda ku droo kwa nwarabu shika maneno yangua haya utarudi kunambia.......