Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Mohamed Sherrif wa Al Ahly ! Yaaani Uso kwa uso, Yeye na kipa wa AS Vita lakini anakosa fursa ya waaazi kabisa kwa guu lake la kulia!

mpira umekwisha

Dakika ya 90' + 5'

Al Ahly SC 2 - 2 AS Vita Club
Water Bwalya hajamuona?..Yeye na kipa kapaisha.

Nadhani ile jezi aliyebadilisha na Lamine Moro ndo shida ilianzia pale hata Kocha Pitso alipokutana na Senzo hivyo hivyo.. Utopolo wana gundu sana.[emoji2957]
 
Simba anahitaji points 4 tu ili aweze kufuzu robo fainali.
tar 16 march Simba anakutana na Elmerekh anatakiwa kushinda na mechi inayofuata anakutana na As vita anatakiwa kupata sare au kushinda, mechi ya mwisho anakutana na Al ahyl ambayo itakuwa ugenini.

Hapa Al Ahyl atacheza na Simba kufa na kupona wakigombania waweze kufuzu maana ushindani utakuwa sasa yeye na na As vita wakitafuta kufuzu.

Hata hivyo watajuana wenyewe "vita vya panzi furaha kwa kunguru"
 
Labda hujielewi yaani hii sare imefanya kundi kuwa gumu na simba hana nafasi hapo ,Vita alivyocheza leo ndivyo atacheza akija Dar

Kwa matokeo hayo simba lazima watafute ushindi kwa udi na uvumba angalau mechi 1 na sare 1 tofauti na hapo mnaweza kuishia makundi mkashangaa
Simba ya safari hii sio unayoidhania kuwa ya kubahatisha..... mechi zilizobakia tunafunga zote
Si tupo hapa utakuja kunambia!!!!.... record zinatufanya tutembee kifua mbele
 
Simba anahitaji points 4 tu ili aweze kufuzu robo fainali.
tar 16 march Simba anakutana na Elmerekh anatakiwa kushinda na mechi inayofuata anakutana na As vita anatakiwa kupata sare au kushinda, mechi ya mwisho anakutana na Al ahyl ambayo itakuwa ugenini.
hapa Al ahyl atacheza na Simba kufa na kupona wakigombania waweze kufuzu maana ushindani utakuwa sasa yeye na na As vita wakitafuta kufuzu.
hata hivyo watajuana wenyewe "vita vya panzi furaha kwa kunguru"
Ipo hivi..... vita anakufa kwa mkapa. El merakh anakufa pia. Tunaenda ku droo kwa nwarabu shika maneno yangua haya utarudi kunambia.......
 
Bora hii mechi iishe kwa sare iwe faida kwetu, wakiwa wanatafuta point 7 sisi tuwe na points 10💪💪
Hizo pointi kumi umezibandika tu kirahisi rahisi namna hiyo!!!??
hii mijamaa inapenda kutangulia muda!!
 
Kwahivyo Simba hana mechi ya kushinda isipokuwa Vita na Al Ahly pekee.

Wivu ni kidonda Aisee...!
Mechi ipi ya kushinda Simba....!!!!
nafasi yao ni ile wamepoteza jana....
Simba anakuja kufungwa uwanja wa taifa goli tatu kwa moja.....na Vita
Pia anakwenda kupigwa na Alhy kwao..
Ell Mareikk wanakuja kulazimisha droo hapa Tz tunza hizi kumbukumbu......
Katoe photocopy uweke na lamination....
 
Al merrek mnamsahau kwani hawezi toa sare congo kwa vita na sare sudan dhidi ya al ahly??

Vita jana bahati ilikuwa kwake tu pengine ubora wa kipa wao au kukosa umakini wa washambuliaji wa ahly

Hili ni soka

Sent from my X-TIGI_V13 using JamiiForums mobile app
 
Mechi ipi ya kushinda Simba....!!!!
nafasi yao ni ile wamepoteza jana....
Simba anakuja kufungwa uwanja wa taifa goli tatu kwa moja.....na Vita
Pia anakwenda kupigwa na Alhy kwao..
Ell Mareikk wanakuja kulazimisha droo hapa Tz tunza hizi kumbukumbu......
Katoe photocopy uweke na lamination....
Mechi ipi ya kushinda..?

Hizo point 7 ulimpa wewe?.. Utopolo ujinga tu ndio upo kichwani.
 
Ipo hivi..... vita anakufa kwa mkapa. El merakh anakufa pia. Tunaenda ku droo kwa nwarabu shika maneno yangua haya utarudi kunambia.......
Afe El merick na Vita tu inatosha.
kwa Mwarabu hatupati kitu na tutakuwa tumeshafuzu.
 
Back
Top Bottom