NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Na iwe ivyo mkuu.Mechi iishe hivi hivi halafu sisi mechi ijayo tumbamize mtu..tuwe na 10 ma wao wasuluhu tena ....nina hakika kwa asilimia zaidi ya 100 Al Ahly hatoboi hili kundi..hesabu kwa upande wake zimekaa vibaya.
Mbona tuliuzima kwao
Simba leo angeshinda mambo yangekuwa poa sana. Yaani uhakikaMechi iishe hivi hivi halafu sisi mechi ijayo tumbamize mtu..tuwe na 10 ma wao wasuluhu tena ....nina hakika kwa asilimia zaidi ya 100 Al Ahly hatoboi hili kundi..hesabu kwa upande wake zimekaa vibaya.
Hapa sare hakuna,labda uombee sare ya Congo DR
Sawa mtani wewe subiri utaona tena bila kusimuliwaAngalia Moto Wa As Vita Nasubiri Kuona Utakavyo-uzima.
Hawana lolote ni vile Al ahly hawana bahati ingekuwa 6
Hahahah kama akifukuzwa huyo na yule aliyetoka barcelona tumufanye nn? SwaliKocha wa Al Ahly atangulie kabisaa Airport,mizigo yake chaumbea Senzo ataifata Misri ampelekee.