Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Mechi iishe hivi hivi halafu sisi mechi ijayo tumbamize mtu..tuwe na 10 ma wao wasuluhu tena ....nina hakika kwa asilimia zaidi ya 100 Al Ahly hatoboi hili kundi..hesabu kwa upande wake zimekaa vibaya.
Na iwe ivyo mkuu.
Ili dude Al Alhly tusije kukutana nalo uko mbeleni,liishie hukuhuku Buza.
 
Mechi iishe hivi hivi halafu sisi mechi ijayo tumbamize mtu..tuwe na 10 ma wao wasuluhu tena ....nina hakika kwa asilimia zaidi ya 100 Al Ahly hatoboi hili kundi..hesabu kwa upande wake zimekaa vibaya.
Simba leo angeshinda mambo yangekuwa poa sana. Yaani uhakika
 
Dakika 5 zimeongezwa hapa, hii inaweza kuwa advantage kwa Al Ahly
 
Dakika 90'
Dakika 5 za nyongeza zinatangazwa

AS Vita Club, wimbo maalum wa super coach Florent Ibenge ambaye aliwahi kuichezea AS Vita unazizima hapa uwanjani

AL Ahly SC 2 - 2 AS Vita Club

 
Hapa sare hakuna,labda uombee sare ya Congo DR

Rudia kusema kwa sauti na watu wote wasikie 😂😂😂😂😂😂
Ahly watafukuza huyo kocha sio mda wenzao El merekh tayari huko 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Dakika 92

Fursa kwa AL Ahly lakini kipa wa AS Vita unakuwa mpira rahisi kwake.

AS Vita Club, wimbo maalum wa super coach Flores Ebenge unazizima hapa uwanjani

AL Ahly SC 2 - 2 AS Vita Club
 
Msuva kafanya yake huko
Screenshot_20210306-235155_FotMob.jpg
 
Dakika 94'
AS Vita wanafanya mabadiliko ya mchezaji


AL Ahly SC 2 - 2 AS Vita Club
 
Back
Top Bottom