Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Dakika 87'
AS Vita Club, wimbo maalum wa super coach Flores Ebenge unazizima hapa uwanjani

AL Ahly SC 2 - 2 AS Vita Club
 
Mechi iishe hivi hivi halafu sisi mechi ijayo tumbamize mtu..tuwe na 10 ma wao wasuluhu tena ....nina hakika kwa asilimia zaidi ya 100 Al Ahly hatoboi hili kundi..hesabu kwa upande wake zimekaa vibaya.
 
Bora hii mechi iishe kwa sare iwe faida kwetu, wakiwa wanatafuta point 7 sisi tuwe na points 10💪💪
 
Back
Top Bottom