Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Kimsingi Vita kaloga maana anakoswa koswa too much

Dkk 64 almanusura vita wapate goli la pili, kipa wa Al ahly kawaokoa
 
Kocha kamtoa kwa pressure zake tuu lakini wachezaji wakubwa huwa wanavumiliwa ,Ronaldo,Lewandiski,Messi,nk nk

Hata Simba huwa hawamtoi Chama wanamsikilizia,Licha ya Bwalya kupaisha still ni fowadi wa kutumainiwa kuliko wapuuzi waliongizwa.
Ubora wa miquison mara nyingi ulikuwa unapogwa tag sana na chama

Hata ukiangalia karibia mipira mingi ya Luis iliyokuwa na madhara pasi ilitoka kwa chama japo chama hakuwa fresh

So sometimes kocha anaangalia nikimtoa chama naweza kumfifisha Luis kutokana na team work yao
 
Maombi kwa Victor Ibenge atoboe,waarabu wanajionaga wao ndo wana fast priority ya kufika mbali kwenye klabu bingwa.
Mimi kama kinda la simba sc naombea leo wavae sare ili kundi letu liendelee kutupa sisi unafuu wa kufuzu hatua ya makundi
 
Hivi matokeo favourite kwa Simba ni yapi?
Watoe draw
Ahly ashinde au
Vita ashinde?
 
GOAL GOAL GOAL

Dakika 69'
Waheed waheed albadir maombi yameitika ya mashabiki wa
Al Ahly SC 2 - 1 AS Vita Club

 
GOAL GOAL GOAL

Dakika 72'
Waheed waheed albadir maombi yameitika ya mashabiki wa
Al Ahly SC 2 - 1 AS Vita Club
 
Back
Top Bottom