Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Maombi kwa Victor Ibenge atoboe, waarabu wanajionaga wao ndio wana fast priority ya kufika mbali kwenye klabu bingwa.
 
Dakika 64'

Al Ahly SC 0 - 1 AS Vita Club
Kona mbili mfululizo za Al Ahly lakini AS Vita Club kwa namna fulani bado kulah hali hawajaruhusu kufungwa

Al-hadsi kubwa ndani ya uwanja ni kuwa Kutokea kushoto ya uwanja Muyamba na mwenzie kulia Shabani, wachezaji hawa wa AS Vita Club mwiba mkubwa kwa defence line ya Al Ahly
 
Back
Top Bottom