Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Huu ndo mpira, sio ule wa walevi wa jioni sijui nyau na watoto wa Sudani
 
Yaaani hakika hapa Cairo mashabiki hawaelewi Walter Bwalya na wenziwe wa Al Ahly wameshindwa vipi kupata magoli kipindi cha kwanza.

Kwa mbaali tunasikia wimbo maarufu wa kumsifia super coach Flores Ebenge unasikika miongoni mwa AS Vita Club wakitiana mori kuendeleza vita hii ili kuibuka na ushindi.

Kipindi cha pili kimeanza.
 
Hawa wababe wa Africa ni lazima watashuka mpaka chini kisha waanze upya kupanda.
Shughuli nyingi za wababe zinaalibikia nyumbani.
Vita kapigwa na Simba akiwa home.
Mazembe kapigwa na Mamelody akiwa home.
Al Ahly nae hii mechi asiporudisha goli basi anakufa home,Mbuyu huu unaangushwa masikini.
Huo mbuyu bora uangushwe tu, utawala ubaki wa ngozi nyeusi na tena yule jamaa wa mamelody akishinda urais wa CAF hapo ndiyo waarabu watapoteana kabisa
 
Kundi litazidi kuwa gumu wakitoka sare. Bora Ahly angeshinda.
 
Dkk 49,Bwalya kapaisha yeye na kipa huku mtangazaji akitaka kulia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Bwalya kakosa tena dkk 51 ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16] vita wameloga kinyama
 
Back
Top Bottom