Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaombea wasare.Itakua nzuri sana kwetu..game ijayo tu na wasudan tunamaliza kazi..ila As Vita wanakoswakoswa sana.
Hao vita wasijinasibu kuifunga Al Ahly bora wapaki basi lao vizuri wapate hata suluhuHuu mzunguko wa makundi kuna makocha vibarua vitaota nyasi.
Simba kamtoa bikra Al Ahly naona na Vita anataka akojolee palepale alipokojoa Simba.
Like me
Utopolo bana.Simba msijifariji wenzenu Al ahly washachezea mkuyenge wa As vita,jiandaeni kunyolewa Dar,mechi mliyobakia nayo kushinda ni ya El merekh kwa mkapa
Inatia huruma yani walimleta kwa kuvunja rekodi alafu kwa mkataba mzito sana, wakati huo ana tuzo ya kocha bora AfrikaHuyu Motsimane asipokua makini akifungwa game ikiisha tu na yeye kibarua kinaota nyasi.
Timu nyingine ya Congo siyo Congo Brazaville, TP Mazembe Englebert timu maarufu ya DR Congo leo walipoteza 2-1 kwa Mamelodi Sundowns ya South Afrika.
Hawa wababe wa Africa ni lazima watashuka mpaka chini kisha waanze upya kupanda.ZAMALEK nashangaa wao mpaka dakika hii BADO hawajatimua kocha
Mkuu huyu ni mtani acha kumtusiUtopolo mna nyege mbaya sana..kila saa visimi vinawasimama..