HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Angalau, sasa Simba ishinde Taifa afu hawa mmoja wao afungwe nyingi
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia matokeo mkuu. achana na betsRudia kusema kwa sauti na watu wote wasikie 😂😂😂😂😂😂
Ahly watafukuza huyo kocha sio mda wenzao El merekh tayari huko 😂😂😂😂😂😂😂😂
Yeye aje tu apokee kichapo tunampa na 🐈 aende akafugeSawa anakuja ni zamu yenu kumkaribisha mgeni huyo!
Msuva kafanya yake hukoView attachment 1718895
Watatoa droo CongoAngalau, sasa Simba ishinde Taifa afu hawa mmoja wao afungwe nyingi
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Sawa mtani wewe subiri utaona tena bila kusimuliwa
Alafu mtani ukumbuke hao wote wamekutana leo ni vibonde wangu
Siwezi kusema zali. Al Ahl walifunguka ndicho kilichowauwa na ndicho kilichotuweka salama Simba SC kule SudaneMkuu hivi hao vita wanacheza vizuri kweli ama ni bahati tu
Itapendeza zaidi na Congo wakitoa droo.Watatoa droo Congo
Labda hujielewi yaani hii sare imefanya kundi kuwa gumu na simba hana nafasi hapo ,Vita alivyocheza leo ndivyo atacheza akija DarSimba Sc njia nyeupe kusonga mbele.
Tushindwe wenyewe kupata point 3 kwenye mechi 3 tulizobakiza ikiwemo mbili za nyumbani.
Huu ni mwaka wetu [emoji123][emoji123][emoji123]
Kwa hiyo Simba SC yeye ataenda kujitega tu. Alifikaje hapo juu akiwaacha wenzie point 3Labda hujielewi yaani hii sare imefanya kundi kuwa gumu na simba hana nafasi hapo ,Vita alivyocheza leo ndivyo atacheza akija Dar
Kwa matokeo hayo simba lazima watafute ushindi kwa udi na uvumba angalau mechi 1 na sare 1 tofauti na hapo mnaweza kuishia makundi mkashangaa
Tunahitaji point nne kwa uhakika zaidi...hizo tatu hazitoshi kujihakikishia kufuzu.Simba Sc njia nyeupe kusonga mbele.
Tushindwe wenyewe kupata point 3 kwenye mechi 3 tulizobakiza ikiwemo mbili za nyumbani.
Huu ni mwaka wetu 💪💪💪
Weka hesabu mkuu. Washindani wako kupunguziana point inakuwaje matokeo mabayaHii sare sijaipenda kabisa ki mahesabu ingetakiwa mmoja afungwe na sio droo hii.
AHLY alitakiwa afungwe hesabu zingekaa poa sana.Hii sare sijaipenda kabisa ki mahesabu ingetakiwa mmoja afungwe na sio droo hii.
Hapo group linakua open sana heri mmoja adidimizweWeka hesabu mkuu. Washindani wako kupunguziana point inakuwaje matokeo mabaya
Sasa weee bwabwa. Nan top of the group hpoSimba msijifariji wenzenu Al ahly washachezea mkuyenge wa As vita,jiandaeni kunyolewa Dar,mechi mliyobakia nayo kushinda ni ya El merekh kwa mkapa