Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Rudia kusema kwa sauti na watu wote wasikie 😂😂😂😂😂😂
Ahly watafukuza huyo kocha sio mda wenzao El merekh tayari huko 😂😂😂😂😂😂😂😂
Fuatilia matokeo mkuu. achana na bets
 
Mohamed Sherrif wa Al Ahly ! Yaaani Uso kwa uso, Yeye na kipa wa AS Vita lakini anakosa fursa ya waaazi kabisa kwa guu lake la kulia!

mpira umekwisha

Dakika ya 90' + 5'

Al Ahly SC 2 - 2 AS Vita Club
 
Sawa ila mmoja hapo na yeye kaweza kukusanya point 4 away kama wewe ila kaweza kufunga goli 6 ugenini na kuruhusu 3.

Ila wewe ugenini umefunga goal 1 na cleansheet.

Msubiri mgeni wako anakuja soon!
Sawa mtani wewe subiri utaona tena bila kusimuliwa
Alafu mtani ukumbuke hao wote wamekutana leo ni vibonde wangu
 
Simba Sc njia nyeupe kusonga mbele.

Tushindwe wenyewe kupata point 3 kwenye mechi 3 tulizobakiza ikiwemo mbili za nyumbani.

Huu ni mwaka wetu 💪💪💪
 
Simba Sc njia nyeupe kusonga mbele.

Tushindwe wenyewe kupata point 3 kwenye mechi 3 tulizobakiza ikiwemo mbili za nyumbani.

Huu ni mwaka wetu [emoji123][emoji123][emoji123]
Labda hujielewi yaani hii sare imefanya kundi kuwa gumu na simba hana nafasi hapo ,Vita alivyocheza leo ndivyo atacheza akija Dar

Kwa matokeo hayo simba lazima watafute ushindi kwa udi na uvumba angalau mechi 1 na sare 1 tofauti na hapo mnaweza kuishia makundi mkashangaa
 
Kwa hiyo Simba SC yeye ataenda kujitega tu. Alifikaje hapo juu akiwaacha wenzie point 3
 
Back
Top Bottom