tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,971
Kiukweli kimahesabu mpaka sasa bado hili grupu ni gumu japo Simba tunaongoza kwa points
Kwasababu Ahly na Vita bado wana uwezo wa kufikisha mpaka points 11
Hesabu ipo hivi:
Mechi ya marudiano Vita vs Ahly tuassume ni draw, hivyo watavuna points 5 kila mmoja.
Simba assume anashinda dhidi ya Merreikh, atafika 10pt
Kisha mechi mbili za mwisho za Vita akishinda zote atafikisha points 11, Al Ahly nae akishinda mechi mbili za mwisho atafikisha points 11
Hivyo Simba tunaweza kujikuta tumeishia na points 10 tu
Hivyo Simba chonde chonde hili group bado ni gumu kwetu, tupambane tupate ushindi mechi zetu mbili za hapa Kwa Mkapa au basi tuvune 4 points ( 1 win, 1 draw) hapo tutakuwa tumefuzu