Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Kiukweli kimahesabu mpaka sasa bado hili grupu ni gumu japo Simba tunaongoza kwa points

Kwasababu Ahly na Vita bado wana uwezo wa kufikisha mpaka points 11

Hesabu ipo hivi:
Mechi ya marudiano Vita vs Ahly tuassume ni draw, hivyo watavuna points 5 kila mmoja.
Simba assume anashinda dhidi ya Merreikh, atafika 10pt

Kisha mechi mbili za mwisho za Vita akishinda zote atafikisha points 11, Al Ahly nae akishinda mechi mbili za mwisho atafikisha points 11

Hivyo Simba tunaweza kujikuta tumeishia na points 10 tu

Hivyo Simba chonde chonde hili group bado ni gumu kwetu, tupambane tupate ushindi mechi zetu mbili za hapa Kwa Mkapa au basi tuvune 4 points ( 1 win, 1 draw) hapo tutakuwa tumefuzu
 
We nae yan aongoze kundi kwa point 4 wakati mnyama ana point 7.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
1615096559834.png



jana nilikuwa tungi mkuu nisamehe bure
 
Ipo hivi..... vita anakufa kwa mkapa. El merakh anakufa pia. Tunaenda ku droo kwa nwarabu shika maneno yangua haya utarudi kunambia.......
Mkuu andaa pesa tu, weka simba win game 2 za home, then draw away, tia laki subiri pesaaaa.
 
Labda hujielewi yaani hii sare imefanya kundi kuwa gumu na simba hana nafasi hapo ,Vita alivyocheza leo ndivyo atacheza akija Dar

Kwa matokeo hayo simba lazima watafute ushindi kwa udi na uvumba angalau mechi 1 na sare 1 tofauti na hapo mnaweza kuishia makundi mkashangaa
Mkuu tuna michezo miwili ya nyumbani, ndiyo tushindwe kupata hizo point 3+

Hujalazimishwa kushabikia Yanga Mkuu, karibu Msimbazi ufurahie pira biliani
 
Mechi ipi ya kushinda Simba....!!!!
nafasi yao ni ile wamepoteza jana....
Simba anakuja kufungwa uwanja wa taifa goli tatu kwa moja.....na Vita
Pia anakwenda kupigwa na Alhy kwao..
Ell Mareikk wanakuja kulazimisha droo hapa Tz tunza hizi kumbukumbu......
Katoe photocopy uweke na lamination....
Hiki kilio kingine baada ya kilio cha hamsa-hamsa kufa kifo cha kisenge
 
Tunahitaji point nne kwa uhakika zaidi...hizo tatu hazitoshi kujihakikishia kufuzu.
Ni sahihi, but kwa mechi zetu mbili za nyumbani hatuwezi kukosa points 4

Simba nguvu moja 💪💪
 
Hizi hesabu za wapi umepiga? Simba akifikisha point 10 bado kazi haijaisha sababu kimahesabu bado ahly na vita wana uwezo wa kufikiaha point 10 au zaidi
Haijalishi but hatuwezi kosa point 4 pale Taifa, tena tukikomaa tunaweza pata point 6 kabisa
 
Hizo pointi kumi umezibandika tu kirahisi rahisi namna hiyo!!!??
hii mijamaa inapenda kutangulia muda!!
Unateseka ukiwa wapi Mkuu?😀😀

Safari yetu Msimbazi kuingia robo fainali ndiyo imeanza, tuna hakika wa kupata point 4 nyumbani thereafter uhakika wa kuongoza kundi upo💪💪

Simba nguvu moja 💪💪💪💪
 
Kiukweli kimahesabu mpaka sasa bado hili grupu ni gumu japo Simba tunaongoza kwa points

Kwasababu Ahly na Vita bado wana uwezo wa kufikisha mpaka points 11

Hesabu ipo hivi:
Mechi ya marudiano Vita vs Ahly tuassume ni draw, hvyo watavuna points 5 kila mmoja.
Simba assume anashinda dhidi ya Merreikh, atafika 10pt

Kisha mechi mbili za mwisho za Vita akishinda zote atafikisha points 11, Al Ahly nae akishinda mechi mbili za mwisho atafikisha points 11

Hvyo Simba tunaweza kujikuta tumeishia na points 10 tu

Hvyo Simba chonde chonde hili group bado ni gumu kwetu, tupambane tupate ushindi mechi zetu mbili za hapa Kwa Mkapa au basi tuvune 4 points ( 1 win, 1 draw) hapo tutakuwa tumefuzu
Wewe mara ya mwisho kuiona simba inafungwa kizembe taifa ni lini? Sisi hatuzungumzii kupita tunazungumzia kuongoza hili kundi, sisi ni klabu kubwa mechi zetu mbili za Taifa tumevuna point chache ni 4 sio chini ya hapo sasa nyie endeleeni hesabu zenu za yule ashinde simba afungwee ili mradi mfurahie tu
 
Unateseka ukiwa wapi Mkuu?[emoji3][emoji3]

Safari yetu Msimbazi kuingia robo fainali ndiyo imeanza, tuna hakika wa kupata point 4 nyumbani thereafter uhakika wa kuongoza kundi upo[emoji123][emoji123]

Simba nguvu moja [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Sasa hivi tunawaza tutakutana na nani robo fainali sio kupita kwenye kundii hilo limeshaisha ni kazi ya wachezaji tu kutukusanyiw point zetu kwa mkapa
 
Sio wote mkuu, hivi humjui Drogba wewe ama!
Labda nikuulize umeanza lini kushabikia mpira?
Drogba alikuwa hasuki. Kwa umri wangu naweza sema miaka ya 2000 maana ndio wakati niliokuwa na umri wa kujitambua vyema.

Si kwamba hakuna kabisa ila wengi wao nilioshuhudia.
 
Haituhusu yeye afungwe tu..
kikubwa kwa Mkapa hatoki mtu.
Game zetu mbli za home zitakuwa ngumu sana, hasa ya Vita, Al Mareikh wamefukuza kocha hujui watakujaje, kiukweli mi bado nahofu sana..
 
Kweli mkuu maana huyu vita akipata sare ataongoza ligi kwa chance ya magoli
Tupambane kufa kupona game ijayo tushinde hapa Dar.

Game ijayo kama vita atambamiza al ahly unaona jinsi ambavyo grp linabaki kuwa taiti. Maana hata al ahly kama atabakza dhidi ya wasudani na sisi ina maana nae anatafuta point 10.
So tutajikuta tena game na Vita ni do or die.

Hatari naiona mbele hapa game na vita itakuwa ngumu sana hata nikiitazama kimahesabu.
 
Haijalishi but hatuwezi kosa point 4 pale Taifa, tena tukikomaa tunaweza pata point 6 kabisa
Mkuu samahani naombeni kufahamishwa. Ikitokea Simba kapata hizo pt 4 kama tunavyoombea, hakuna uwezekano wowote wa kufangana points na hawa Al ahly na Vita? Na kama tukifungana pt huoni kwamba tunaweza toka kwa tofauti ya magoli? Naombeni maelekezo tafadhali 🙏
 
Group limekaa kimtego hili, Ahly ni lazima akafe na Vita Congo apate ushindi, mmoja akifungwa atakuwa na possibility ya kufikisha maximum 10 points na ili ufike robo guarantee ni 11 points (assume simba atapata 4 points nyumbani)
 
Water Bwalya hajamuona?..Yeye na kipa kapaisha.

Nadhani ile jezi aliyebadilisha na Lamine Moro ndo shida ilianzia pale hata Kocha Pitso alipokutana na Senzo hivyo hivyo.. Utopolo wana gundu sana.[emoji2957]

[emoji23][emoji23][emoji23]sasa lamine wetu kaingiaje huku[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nicheke tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njia pekee ya sisi kufuzu kwa urahisi ni kushinda mechi zetu za nyumbani zote mbili na kuwaombea Al ahly atoe sare na As Vita Congo
 
Hizi hesabu za wapi umepiga? Simba akifikisha point 10 bado kazi haijaisha sababu kimahesabu bado ahly na vita wana uwezo wa kufikiaha point 10 au zaidi
Mechi ijayo ndiyo itaamua nani atafuzu kwenda na sisi robo fainali.

Akishinda Vita na sisi tukashinda tutakuwa na lazima ya kumfunga hapa kwetu.
 
Back
Top Bottom