Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Sare imewapa confidence sana VitaSare hii ndio nafuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sare imewapa confidence sana VitaSare hii ndio nafuu
Dua imepokelewaNjia pekee ya sisi kufuzu kwa urahisi ni kushinda mechi zetu za nyumbani zote mbili na kuwaombea Al ahly atoe sare na As Vita congo
Kabisa, ila nime conclude ukitaka kufanikiwa kwenye soka wekeza sana.Sasa hivi tunawaza tutakutana na nani robo fainali sio kupita kwenye kundii hilo limeshaisha ni kazi ya wachezaji tu kutukusanyiw point zetu kwa mkapa
Kila timu imebakiza mechi 3, hao jamaa itawalazimu kushinda mechi zao zote ndiyo wafike hizo point 11Mkuu samahani naombeni kufahamishwa.Ikitokea Simba kapata hizo pt 4 kama tunavyoombea, hakuna uwezekano wowote wa kufangana points na hawa Al ahly na Vita? na kama tukifungana pt huoni kwamba tunaweza toka kwa tofauti ya magoli? Naombeni maelekezo tafadhali 🙏
Ondoa hofuGame zetu mbli za home zitakuwa ngumu sana, hasa ya Vita, Al Mareikh wamefukuza kocha hujui watakujaje, kiukweli mi bado nahofu sana..
Ikitokea simba sc akafikisha hizo alama 11, hapo as vita atakuwa na alama 5 (kumbuka sisi tumetoa nae sare) sasa itambidi awafunge hao wengine hali kadhalika kwa al ahly afanye hivyo, kitu ambacho hakiwezekani kwani kati yao (as vita vs al ahly) wanaweza kugawana alama kila mmoja au mmoja wapo akafungwa. Hiyo itakuwa salama kwa simba sc kufuzu bila wasiwasi.Mkuu samahani naombeni kufahamishwa.Ikitokea Simba kapata hizo pt 4 kama tunavyoombea, hakuna uwezekano wowote wa kufangana points na hawa Al ahly na Vita? na kama tukifungana pt huoni kwamba tunaweza toka kwa tofauti ya magoli? Naombeni maelekezo tafadhali 🙏
Mmedraw tena vitendo zero. Mmetuachia mterezo tu SimbaMkuu tulikuwa hatujafungwa mpaka sasa, unataka vitendo gani zaidi
06 March 2021
Mashindano ya CAF Champions League 2020/ 2021 Msimamo ngazi ya makundi, kundi "A"
lenye timu 4 yaani Al Ahly ya Egypt, Al-Merrikh Sporting Club ya Omdurman nchini Sudan, AS Vita Club ya Kinshasa DR Congo na Simba SC toka Tanzania.
GROUP A LIVE TABLE
CHAMPIONS LEAGUE CAF 2020/2021