Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Sasa hivi tunawaza tutakutana na nani robo fainali sio kupita kwenye kundii hilo limeshaisha ni kazi ya wachezaji tu kutukusanyiw point zetu kwa mkapa
Kabisa, ila nime conclude ukitaka kufanikiwa kwenye soka wekeza sana.

Kwa uwekezaji uliopo Simba sports club itachukua miaka 100 Yanga kutufikia.

Saivi tujiandae kucheza robo fainali, upande wa makundi imeisha hiyoo 💪💪
 
Mkuu samahani naombeni kufahamishwa.Ikitokea Simba kapata hizo pt 4 kama tunavyoombea, hakuna uwezekano wowote wa kufangana points na hawa Al ahly na Vita? na kama tukifungana pt huoni kwamba tunaweza toka kwa tofauti ya magoli? Naombeni maelekezo tafadhali 🙏
Kila timu imebakiza mechi 3, hao jamaa itawalazimu kushinda mechi zao zote ndiyo wafike hizo point 11

Wakati sisi tunahitaji points 4 tu kujihakikishia ushindi.

Kwa analysis hiyo angalia nani mwenye mlima mrefu wa kupanda??

Simba nguvu Moja 💪
 
Mkuu samahani naombeni kufahamishwa.Ikitokea Simba kapata hizo pt 4 kama tunavyoombea, hakuna uwezekano wowote wa kufangana points na hawa Al ahly na Vita? na kama tukifungana pt huoni kwamba tunaweza toka kwa tofauti ya magoli? Naombeni maelekezo tafadhali 🙏
Ikitokea simba sc akafikisha hizo alama 11, hapo as vita atakuwa na alama 5 (kumbuka sisi tumetoa nae sare) sasa itambidi awafunge hao wengine hali kadhalika kwa al ahly afanye hivyo, kitu ambacho hakiwezekani kwani kati yao (as vita vs al ahly) wanaweza kugawana alama kila mmoja au mmoja wapo akafungwa. Hiyo itakuwa salama kwa simba sc kufuzu bila wasiwasi.
 
06 March 2021

Mashindano ya CAF Champions League 2020/ 2021 Msimamo ngazi ya makundi, kundi "A"

lenye timu 4 yaani Al Ahly ya Egypt, Al-Merrikh Sporting Club ya Omdurman nchini Sudan, AS Vita Club ya Kinshasa DR Congo na Simba SC toka Tanzania.

GROUP A LIVE TABLE
PosTeamPWDL+/-PTS
1SimbaSIM3210+27
2Vita ClubVIT3111+24
3Al AhlyAHL3111+24
4Al MerreikhMER3012-61
CHAMPIONS LEAGUE CAF 2020/2021

Pagumu hapa Al Ahly, Al Merrikh na Simba wanaweza kufungana kwa pointi 10 kila mmoja wakimaliza mechi zote 6 ktk kundi "A".

Goal difference inaweza kumvusha mtu hapa, inabidi Simba SC wajinoe safu yao ifunge magoli mengi iwezekanavyo na kuzuia kuruhusu magoli mengi ya kufungwa.
 
06 March 2021
Cairo, Egypt

Kocha Pitso Mosimane asema mechi ya Al Ahly dhidi ya AS V.Club ilikuwa na Maajabu mengi, lakini ndiyo mpira ulivyo tulikosa mabao mengi ya wazi


Kocha Pitso Mosimane wa Al Ahly awatetea wachezaji wake wote baada shutma kwa Walter Bwalya kuleta mtafaruku na gumzo ktk mkutano na waandishi wa habari Egypt baada ya mechi na AS Vita Club


Source : Al Ahly TV
 

07 March 2021​

Cairo, Egypt

Numbers don’t lie, says former Al Ahly coach in defense of Mosimane​

Ali Ismail
Ali Ismail
3 hours ago
Al Ahly
Photo: Al AhlySC
Former Al Ahly goalkeeping coach, Tarek Soliman, defends the Red Devils’ head coach Pitso Mosimane amid his side’s poor run of form.
Mosimane has been very successful since joining Al Ahly, helping them win the treble by lifting the Egyptian Premier League, Egypt Cup and the CAF Champions League.
He also finished third in the Club World Cup after beating Copa Libertadores champions Palmeiras.
Pitso Mosimane

The South African, therefore, earned the respect of many in the Egyptian footballing scene but keeps being criticized for his side’s average performances.
Since their 3-1 win over a weak Al-Merrikh side, Al Ahly lost to Simba SC in the CAF Champions League, before earning an unconvincing 2-1 win over Tala’a El-Gaish.
READ: Mosimane furious following Vita Club draw, says Al Ahly sporting director
The Reds had a chance to redeen themselves against AS Vita Club, but were held to a frustrating draw, putting them third in Group A.
Al Ahly

Despite that, Soliman still believes in Mosimane, who proved on several occasions his worthiness of being in charge of Al Ahly
“Numbers don’t lie, I don’t know what people want from Mosimane. Yes, he came and the league was secured, but he performed well and won the CAF Champions League, playing a difficult final against Zamalek,” he told OnTime Sport TV.
READ: Mosimane’s discoverer knew he would be ‘great’ coach since playing days
“He also won the Egypt Cup. Yes, some performances were shaky, but the players were focused until the end of the season.
Egypt Cup

“Finally, he won the bronze medal at the FIFA Club World Cup, something the club failed to achieve since 2006,” he concluded.
Al Ahly’s next game in the Champions League will see them travel to face Vita Club in DR Congo on Tuesday, March 16; however, they will first play against rivals Ismaily on Wednesday, March 10.
Source : Numbers don't lie, says former Al Ahly coach in defense of Mosimane
 
kazi tulitakiwa kumaliza sudani sahizi group lishakuwa gumu nasiye hatuna magoli mengi
 
Back
Top Bottom